Kama ni hawa uzao wa Adam.. Hata uwape vyote hivyo na ziada ya matundu yote saba... Bado hawatariridhika.... Kumbuka mfalme Suleiman alibarikiwa hekima na utajiri na wake wa ndoa 300 lakini bado akaongeza masuria 3000....Shepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.
Kwa jinsi ulivyoelezea huyo uliyenaye hukuwa chaguo lake. Aliamua au ameamua kuwa na wewe kwa sababu ya vitu anavyovipata kutoka kwako. Lakini hisia zake hazipo kwako. Utamu wa mwanamke unatofautiana kati ya mtu na mtu. Mwingine atapenda msambwanda, mwingine atapenda kimbaumbau, mwingine atapenda mfupi, mwingine atapenda mrefu na mengine mengi. Sasa inapotokea wewe umempenda mtu na kumshawishi uwe naye tegemea kusalitiwa tu. Na hii ipo kwa wote wanaume na wanawake. Ndio maana hata sisi wanaume tunapokuwa na wake za watu huwa wanatuambia mimi mume wangu nampenda kwa sababu ana hela ila sina hisia naye.Shepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.
Shepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.
Pole sanaShepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.
Bora mkuu Umeandika ukweli"Hakuna mwanaume wa kuridhika na Mwanamke mmoja labda awe anaumwa au hana fedha"-Masoud Kipanya.
Mwanaume hata awe ametoka kuchukucha dk hiyo hiyo yaani kashuka kitandani halafu akasema ngoja niende nikachukue maji hapo kwenye friji halafu akamkuta mdogo wako wa kike kakaa vibaya lazima udenda umtoke.
Inshort mpaka dk hii tunaeleweshana hapa Bado hajazaliwa mwanamke wa kumtosheleza Mwanaume kikamili kabisa asimtamani mwanamke mwengine hata wewe licha ya kwamba kuna watu wanawake zao wazuri kuliko hata wewe ila bado wanakutamani.