grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Matokeo yalikuwaje?Mpira wa miguu...mfano manchester united vs arsenal...
Matokeo yalikuwaje?Mpira wa miguu...mfano manchester united vs arsenal...
Usiombe hili likukute ... acha kutembea na wake za watu.
View attachment 123358View attachment 123359View attachment 123360View attachment 123361View attachment 123362
Kwamba wewe hata usipochapwa mwezi mzima wala K haiwashi?Hahaaa...ananijua nilivyo ndiyo maana hana wasiwasi...
- Hawanaga kugandana kama vile vi-form twoLakini pia wapo wanaodai mke wa mtu mtamuuuuuuu tena hana gharama wala usumbufu
mi naaamini huo ni upumbavu wa hali ya juu....lets say nimekutana na mkeo kwa dala dala...nikampanga akapangika tena without mi knowng kwamba kaolewa. nina kosa gani hapo. dawa ni kumiliki bunduki tuuu...ujinga kam huo n.
Kwamba wewe hata usipochapwa mwezi mzima wala K haiwashi?
Matokeo yalikuwaje?
Igweeeeeeeeeee- Hawanaga kugandana kama vile vi-form two
- Hawapendi mahoteli maarufu kama vile vitoto cha chuo
- Hata akufumanie hatangazi kwa yeyote
Na wewe ukija uwanja wangu wa nyumbani lazima nikufunge bao Moja. HahahaaaaaaMan u alikuwa nyumbani old traford alishinda 1-0
Ungetoa tu jibu la mwishoHahaaa haya maswali mengine...naomba tuishie hapa....
Ungetoa tu jibu la mwisho
Na wewe ukija uwanja wangu wa nyumbani lazima nikufunge bao Moja. Hahahaaaaaa
Ofcourse, na inategemea mbele yako kuna nini...Haaa si kila swali lazima lijibiwe...
Haina shida lakini itakuwa tumeshaingia dimbani. HahahahaaaaaaaMpira hautabiriki...unaweza usifunge kabisa hata moja au Ukatoka droo..
Hahahahahaaaaaaa.... mdomo nyumba ya maneno lakini ukiona inaishiwa mmhhhhHahaaa haya maswali mengine...naomba tuishie hapa....
Mkuu hata mimi sijamuelewa.Ungetoa tu jibu la mwisho
Mkuu labda anamaanisha kuwa hata kukaa kimya pia ni jibu.Ofcourse, na inategemea mbele yako kuna nini...