Ni jambo lisilo pingika kuwa mapenzi ni tunu ya ajabu mno tulo tunikiwa na MUNGU, penzi ni tamu hasa inapo kuwa hivi;
1 ukipata unayempenda na yeye anakupenda
2 Ukiwa unadekezwa dekezwa kimahaba.
3 Ukipata anayejua kupenda na kufariji.
4 Ukipata anayekupatia vizawadi zawadi.
5 Tendo lenyewe la mapenzi ndo hukamilisha utam wa haya mapenzi.
Umenikuna aisee.
Kwa sababu ivumayo haidumu na ngoma ikipigwa sana hupasuka.
kwan uongo?! Hivi sisi tungejuaje kuwa ww unaumwa na ulilazwa bila mapenz? Alikuja hapa mkuu H. Kutujuza hali halisi
Hahaha....
Yaani unampenda huyo mkuu, nikipita kukusalim lazima umtaje na yeye... hujui kua anajing'ata mutoto ya mutu?
wewe! Araa! Sema anakukuna bhana........teh teh teh! Si unajua tena kitu roho inapenda
kwanini haidumu!!!!!!!
KWa sababu sisi ni BINADAMU!
Lol... ishia hapo hapo, unajua yule jamaa ni mtu wa mungu sana, akikutana na vitu kama ivi, utamtoa upako shemejiiiiiii...
wachaaa! Unataka kuniambia yeye hataki lile apple walilokula Adam na Eva/Hawa? Ana maneno flani ya kuchombeza yule jamaa yaan kukuchukulia akiamua ni dk2 tu......teh teh
Walaaaa hana hilo wazooo, yeye ananipaga vifungu vya biblia tu...
owkiii! Bas ngoja na mm nikufungulie vifungu vya hapo mwanzo Mungu alimuumba adam lakin akaona yu peke yake baadae akaona sio vyema...................(malizia)
Mhhhh.... sio hicho shemejiiiiiii... ongelea kile cha Yesu kubadili jiwe kua mkateeee...
hapo mm sijapafaham vizr ila najua tu pale palipoandikwa hvi: msinyimane, kila aombaye hupewa najua nikikuomba utanipa na huwez kuninyima kwasababu utakuwa umetenda dhambi ......... Au unasemaje nijaribu kukuomba?
Tatizo dhambi yangu kubwa ni uchoyo...