uchoyo upi huo tena?
Uchoyo wa kila kitu kwahiyo usijisumbue kuomba chochote hata kama biblia imesema tusinyimane..
lakin Yesu alisema hakuna lililogumu kwake naamin tukifunga na kuomba hyo roho mbaya ya unyimi na uchoyo itakutoka utakuwa kiumbe kipya chenye moyo wa huruma
Love is just like a graph. At the start it keeps increasing at a constant level and when it reaches at the climax eventually it starts to decrease. Assuming all other factors remain constant.
Those factors are relying on the level of caring for your partner. Ila kiujumla mapenzi ni matamu kama alivyoainisha mtoa mada.
Hakuna linalishindikana kwake na sio kwangu...
lakin tambua ww ni kiumbe chake........ Hebu ungana nami ktk kuitokeza hyo roho ya shetan.......
Hakuna linalishindikana kwake na sio kwangu...
solution nakukubali kwa makavu mkuuBy the WAY ... How Old are YOU!!
bas shemeji nikutakie usk mwema naona wifi yako naye anataka kuogeshwa si unajua tena yale ya UTAANZAJE..... Teh teh teh
Ni jambo lisilo pingika
kuwa mapenzi ni tunu ya ajabu mno tulo tunikiwa na MUNGU, penzi ni tamu
hasa inapo kuwa hivi;
1 ukipata unayempenda na yeye anakupenda
2 Ukiwa unadekezwa dekezwa kimahaba.
3 Ukipata anayejua kupenda na kufariji.
4 Ukipata anayekupatia vizawadi zawadi.
5 Tendo lenyewe la mapenzi ndo hukamilisha utam wa haya mapenzi.
kwahiyo kama sisi ni BINADAMU what happens
hahahaha hata tz yapo bwana
Ulikuwa unawashwa? Tehe tehe teheeeee