mmmuhumba
JF-Expert Member
- Nov 8, 2017
- 491
- 476
Katika mahusiano mahitaji ya kihisia huwa ni mahitaji ya kimsingi hususani suala zima la kujamiana mwanaume na mwanamke wake (Wenza). Kumekuwepo na maneno mengi ya kuonyesha umuhimu wa ngono katika ndoa na wapenzi.
Ili kujenga mahusiano bora yenye afya na kuthibiti mihemko na migogoro ya wenza juu ya kuchepuka upo umuhimu mkubwa wa mke na mume kwa pamoja kuwa na utayari wa kutimiziana haja za kimwili, badala ya mmoja kutaka na mwingine kubaki kama gita inayopigwa bila kuwa na hisia na tendo.
Jifunze, unapokuwa umeolewa au umeoa moja ya jukumu lako ni kumtimizia mwenza wako ngono tamu ya kumridhisha.
Kwa kushirikiana katika ngono kuna haya hujengeka kwa wenza:
~ Kuwa na mawasiliano mazuri ya kimapenzi. Muda wowote ule unaopanga kukutana kimwili na mwenza wako na ukuanza kuamsha hisia zake naye akaitikia, kwa pamoja mkashirikiana kupeana utamu utamu.
Usaidia kuwaleta karibu zaidi, kuwa huru kufungua hisia zenu mkazungumza, kufurahia na kutoa vinyongo vyenu. Utajifunza yako maeneo anapoguswa mpenzi uweza kuropoka mengi na pia masikio yake kuwa wazi kumsikiliza mwenza wake.
~ Kuonyesha mmependa kwa lengo moja. Ikiwa unamwanaume anayekuingilia kimwili na huna mizuka naye au mwanamke anayekutaka kingono na huna mzuka naye ilo ni tatizo. Unapokuwa na mwenza wako anayejituma kitandani, tena mnapokezana mikao na vionjo vya mahaba.
Ni wazi mko pale kujenga kitu mlichokikusudia na hata ikiwa kuna matokeo ya mimba basi mtu huyo atawajibika. Vuta picha mwanaume kumpakia mkongo au dawa za nguvu mwenza wake ili iweje?, wenza mnaposhirikiana vyema, hivi huwa mbwembwe, mana mko kwenye starehe na siyo vita.
~ Kuonyesha anakuridhisha na kama hakuridhishi ni rahisi kutafuta suluhu kwa pamoja. Mnaposhirikiana katika suala zima la kujamiana, uwaleta karibu zaidi kuwa na utu wa kutazamana mapungufu yenu na kutafuta tiba. Hapa siri za chumbani ufichika na matatizo uweza kutatulika.
~ Kupunguza mawazo ya michepuko. Unapokuwa mume au mke na unashindwa kutoa ushirikiano katika suala la kujamiana. Wapo wenza, mwanaume huwa anajiweka na kuacha mwanamke ajikojoze au mwanamke kumuacha mwanaume akojoe amuache. Hii ujenga fikra kuwa uliye naye uenda penzi limepungua, limeisha, anajambo nawe ila linamtafuna, au amechepuka.
~ Kuongeza ashki ya mapenzi kwa uliyenaye. Unapokuwa unaonyesha kujali hisia za mwenzio kama anavyokujali wewe, ni wazi utamfanya akilini na katika hisia zake uishi wewe na sio tamaa na hata kama atakumbana na tamaa, siku zote utaishi kuwa wa kwanza kwake, hawezi tenda dharau kwako ataishi kwa mipaka.
~ Hupunguza kufanya ngono mara kwa mara. Unaweza fanya ngono nyingi lakini zikawa hazina maana kwa kukosa ushirikiano, lakini ngono ya kuchezwa na wenza kwa kushirikiana huwa tamu na upunguza kiwango kikubwa cha nyege. Na kufanya waweze kukaa muda mrefu bila kukutana huku muda huo wakiutumia kufanya mambo mengine.
~ Huepusha mimba zisizo pangwa na maradhi ya zinaa. Unaposhirikiana na mpenzi wako ni rahisi kujali afya yako, kupanga uzazi, kukumbushana na kuchukua tahadhari. Ila unapofanya mwenzio kama mdori, mara zote ni rahisi kukosea.
~ Husababisha athari katika afya ya akili. Ngono ya kufanya bila kuwa na mwenza anayekuitikia vichocheo vyako, utengeneza mazoea ya kufanya ngono kwa kuwaza kujikojoza na sio kufikishwa kileleni. Haina tofauti na puchu. Hivyo kwa mwanaume ulete athari katika kujamiana na mwanamke pia huleta athari ya kukosa hamu na mwanaume husika.
~ Hupelekea mwenza kulinganisha. Udadisi uzaliwa, kwa kutamani kupata mwanaume au mwanamke mwenye kuweza kushughulika kitandani. Sasa, wewe jnaposema upo bize, uume wako unautega kama kigogo akalie tu au unatege uke wako kama chombo cha asali, itasababisha siku atapoonja tu nje na akaona anavyoitikiwa vyema, akaamisha kambi.
~ Kudhalilishwa utu wako. Wapo wanaume na wanawake hawana haba (siri), usipojishughulisha naye ni rahisi kuzikuta siri zako nje kwa mwanamke mwenzio au mwanaume mwenzio. Wengi wanaume na wanawake walidatishwa kwa starehe za chumbani, uyaweka wazi mapungufu ya wenza wao.
Kwahiyo, unapotaka kupunguza mihemko ya mwenzio na kumfanya akupe thamani kwa hali na mapenzi, ni lazima wewe mwanaume na mwanamke (wenza) tendo la ngono liwe ni sehemu ya nyie wawili na sio tamaa ya mtu mmoja.
Ngono inapogeuka kuwa ni tamaa au kipendwa na mtu mmoja huwa ni tatizo, ufanya uliyenaye ajitathmini kuwa hakuridhishi, humjali, humpendi, unashonde naye, unachepuka, mazoea yamevuka mipaka na huna hofu ya yeye kutafuta njia mbadala ya kuweza mahaba.
Na mmmuhumba
Tweet@mmmuhumba
Tiktok@mmmuhumba
#mnogeshe umpendae.