Utamu wa mapenzi ni hivi

Utamu wa mapenzi ni hivi

Sema tu "mapenzi in its peak"! Subiri ss kigeuke!
 
Yapo tena zaidi ya hivyo, utahisi unaimiliki dunia yoye peke yako.
Kuna watu wanajua kupenda jamani acheni tu.
 
Raha sana, ila ukijitumbukiza roho, akili na mwili wote mzima mzima andika umeumia.
 
Ni jambo lisilo pingika kuwa mapenzi ni tunu ya ajabu mno tulo tunikiwa na MUNGU, penzi ni tamu hasa inapo kuwa hivi;

1 ukipata unayempenda na yeye anakupenda

2 Ukiwa unadekezwa dekezwa kimahaba.

3 Ukipata anayejua kupenda na kufariji.

4 Ukipata anayekupatia vizawadi zawadi.

5 Tendo lenyewe la mapenzi ndo hukamilisha utam wa haya mapenzi.

weka nambaa 5 iwe 1 na 1 iwe 5. ndo ntakuja kucoment. mgegedo is the 1st
 
mapenzi ya kivivu hayo, wala siyapendi..
 
Utamu wa mapenzi pesa, we jishaue na hivyo vijisifa alafu mfuko umekauka uone kama hujakimbiwa.
 
Back
Top Bottom