Utamu wa mabinti walio okoka

mabinti waliookoka hawavai hereni, mikufi, pete, na bangili.
Mabinti waliookoka hawajirembi kwa rangi za mdomo, rangi za uso, kucha wala rangi za macho.
Babinti waliookoka 'hawakaangi' nywele zao, wala hawasuki nywele wala hawajipambi kwa nguo za thamani kubwa.

Biblia inasema hivi katika 01 timotheo 02:09-10:-
" 09: Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;10: Bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa mungu".

hivi mtu akishafanya tukio gani ndo anajiita ameokoka hivi tunaokoka tukiwa hapa dunia ama baada ya kufa mwokozi ndo atatuokoaafu matendo ndo yana dictate wokovu ama mahali unaposali manake it is contradicting
 
Hawa mabinti waliokoka ni noma.Arusha kuna mmoja ameokoka anasema ameletwa na mungu kwa vile sio mzaliwa wa hayo maeneo.Ukimtongoza hakatai ila usiku anajibadili kuwa dume anakuamuru geuka anakula kalio(anakulawiti) kwa vile mlikutana kwenye maombi inabidi unyamaze.
 
Jamani tupeni contact za makanisa wanayosali hawa mabinti!! Haki ya nani ni lazima niokoke kwa gear ya kumpata mke!!! My God precious!!
 
Wanaojiita wameokoka ni wale ambao Maisha yamewashinda as well ambao wametenda dhambi saaana so they lost who they are.... hawajiamini... spiritual fatigue ipo juuu... anaamua kujiita mlokole....

Hamna lolote, hypocracy at best....!!!

Wanaliwa ka samaki cheaply...

Math 28:11. Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha.......
 
hilo unalisema wewe kwa mtazamo wako,maana wapo waliokoka na wanamaisga saaaaaaaafi

Wanaojiita wameokoka ni wale ambao Maisha yamewashinda as well ambao wametenda dhambi saaana so they lost who they are.... hawajiamini... spiritual fatigue ipo juuu... anaamua kujiita mlokole....

Hamna lolote, hypocracy at best....!!!

Wanaliwa ka samaki cheaply...
 
Nyi watu vipi?Unageuka,unaliwa kalio,then unanyamaza tu kwa vile mmekutana kwenye maombi?I´m worrying that nyinyi mna chembechembe za ushoga.Ndo maana nawaona walokole waongo tu.
 
Back
Top Bottom