Utamu wa mabinti walio okoka

Utamu wa mabinti walio okoka

huyu mbona kwa matunda yake tu anajulikana zizi alilotoka, sio lile la kondoo, wala sio lile la mbuzi huyu katoka zizi la chui na mitego yake.
Ngoja Asprin na Kaizer wamuone, lazima waunge trela
Bwana, eeh Bwana kwanini wasimama mbali?
Kwanini kujificha wakati wa kiza?

Kaizer piga ile makitu yetu tafazali tumwimbie Bwana wa Majeshi.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni picha ya kitchen party usitudanganye.
 
Wanaojiita wameokoka ni wale ambao Maisha yamewashinda as well ambao wametenda dhambi saaana so they lost who they are.... hawajiamini... spiritual fatigue ipo juuu... anaamua kujiita mlokole....

Hamna lolote, hypocracy at best....!!!

Wanaliwa ka samaki cheaply...

Heri yake mwenye spiritual fatigue na akamkiri Bwana kuliko ujionae umesimama na kujivuna ya kuwa huna dhambi. Mr. President, Mungu hutoa daraja kwa awatakao na sio waliotenda mema.

Kama ulidhani kuwa na dhambi nyingi ni karaha kwa Mungu basi umekosea, karaha kwa Mungu ni pale unapokataa wito wa kutubu na kurudi kundini. Nikukumbushe kuwa Mtume Paulo hapo kabla aliitwa Saulo, naye alikua muuaji wa Wakristo mpaka pale Bwana alipomuita na kumpa daraja lililo kuu.

Ushauri wangu kwako ni kwamba, dhambi zako hizo unazoziita 'ndogo' au 'chache' zisipoungamwa na kumrudia Mungu, huna tofauti na shetani mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Jamani tupeni contact za makanisa wanayosali hawa mabinti!! Haki ya nani ni lazima niokoke kwa gear ya kumpata mke!!! My God precious!!

Zogwale ukifanya hivyo hakika mungu ni mwaminifu atakukutanisha na mwenzio ambaye naye nia yake ya kwenda kanisani ilikuwa ni kupata mume itakugharimu...unaenda kanisani kwa tiketi ya kuoa
 
Last edited by a moderator:
hivi mtu akishafanya tukio gani ndo anajiita ameokoka
Hebu sikia alichoambiwa mlinzi wa gereza alilofungwa Paulo na Sila

Akataka taa ziletwe, akarukia ndani, akitetemeka kwa hofu, akawaangukia Paulo na Sila, kisha akawaleta nje akasema, "Bwana zangu, yanipasa kufanya nini ili nipate kuokoka?" Wakamwambia, "Mwamini Bwana Yesu,nawe utaokoka pamoja na nyumba yako"


Matendo 16:29-31


hivi tunaokoka tukiwa hapa dunia ama baada ya kufa mwokozi ndo atatuokoa
Labda nikuulize tu swali moja; Mpaka umri huo uliofikia umeshawahi kusikia kisa cha maiti kuongea?

Ni kwa kumkiri Yesu ya kwamba ni Bwana na Mwokozi wa maisha ndio tunapata kuokoka, sasa wewe utamkiri vipi wakati huo utakapokuwa umekufa?

afu matendo ndo yana dictate wokovu ama mahali unaposali manake it is contradicting
Yes, kwa matendo wokovu huonekana. Lakini usijichanganye na kundi la waovu wafanyao ibada za giza ukijiaminisha kuwa kutenda mema ndio wokovu. Kajisomee Mathayo 19:16-26

Hivyo torati imekuwa kiongozi kutuleta kwa Kristo, ili tuhesabiwe haki kwa imani. Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi. Kwa kuwa nyinyi wote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu.


Wagalatia 3:24-26

Hapo utaona kuwa ni kwa imani ndio tunahesabiwa haki na si kwa kuifuata torati. Usiwe contradicted, imani yako kwa Mungu inatosha. Unapohisi kuchanganywa, litafute neno lililo la haki (Neno la Yesu) ili likuweke huru

Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini "Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli; tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru"


Yohana 8:31-32

 
Mabinti waliookoka hawavai hereni, mikufi, pete, na bangili.
Mabinti waliookoka hawajirembi kwa rangi za mdomo, rangi za uso, kucha wala rangi za macho.
Babinti waliookoka 'hawakaangi' nywele zao, wala hawasuki nywele wala hawajipambi kwa nguo za thamani kubwa.

Biblia inasema hivi katika 01 Timotheo 02:09-10:-
" 09: Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;10: bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu".

usichukue andiko moja ktk Biblia uka-base hapo utapotea maana halisi. Biblia haijakataza wanawake wasisuke nywele, kuvaa mapambo ya dhahabu au nguo za thamani. Hapo Mtume Paulo alikuwa anawambia wanawake waliokoka wasijipambe kwa nje wakati mioyo yao haina utauwa. hivyo kujipamba kwao kuanzie ndani ndipo kujipamba kwa nje kutakuwa na maana sio kuosha kikombe kwa nje wakati ndani ni kichafu!

Be careful na hao wachungaji wenu. wengine wanataka msiwe na vitu vya thamani ili mapesa yenu yaende kwao kupitia kigezo cha kumtumikia Bwana!
 
hapa sijui nichangie nini......! hebu ngoja kwanza, ntarudi

hata hii inatosha usiumize akili sana nenda kafanye dili za maana zenye zinaweza kukuingizia mchongo kukabiliana na mdororo wa kiuchumi unaokukabili mkuu
 
hivi mtu akishafanya tukio gani ndo anajiita ameokoka hivi tunaokoka tukiwa hapa dunia ama baada ya kufa mwokozi ndo atatuokoaafu matendo ndo yana dictate wokovu ama mahali unaposali manake it is contradicting
Biblia inasema ukimkiri Yesu kwa kinywa chako na kuamini kuwa yeye ni bwana na mwokozi wa maisha yako utaokoka ! hakuna kujiita umeokoka bali ni kanuni ya Mungu ambayo ukiifuata kuokoka ni matokeo yake. Perception ya watu kwamba 'wanajiita wameokoka' ndo inayo wapoteza wengi kwa kudhani wokovu ni kitu cha kawaida kama dini zilivyo. Kwa mujibu wa maandiko ni kwamba, ukimkiri Yesu utaokoka na sio ukimkiri Yesu siku ya mwishi utaokoka. kwahiyo kujibu swali lako ni kwamba wokovu unakuja punde unapomkiri Yesu and you feel the difference. Mahali unaposali si tatizo ilimradi waamini kile biblia inachosema,maana huwezi kuokoka halafu ukasali mahali ambapo wanasema hakuna kuokoka duniani pamoja na kuwa wanmtaja Yesu. kwahiyo uko huru kusali popote ilimradi wawe wanamwabudu Yesu wa kweli. Usidanganyike na matendo, matendo yako ni determinant factor ya ukubwa wa hukumu yako weather uwe umeokoka au hujaokoka. Ukiwa hujaokoka kitafunguliwa kitabu cha watenda maovu halafu yataangaliwa matendo yako ndipo utahukumiwa. kama uliokoka kitafunguliwa kitabu cha uzima halafu yataangaliwa matendo yako baaday a wokovu kisha utapewa taji kulingana na kazi yako. kama ulianguka dhambini inamaana hautakuwepo kwenye kiatabu cha uzima.
 
Ukifanikiwa kutambua utamu huo basi umeweza kuimudu akili yako.Hakuna chachu au kiungo kiongezekacho zaidi ya kujitune kiakili na kiimani,ambayo inawezekana ukafanya kwa binti yoyote.
 
Vipimo vyao vya VVU vinasemaje? Maanake wote wanaookoka apple zao zilikwisha chumwachumwa sana.
 
Hawa mabinti waliokoka ni noma.Arusha kuna mmoja ameokoka anasema ameletwa na mungu kwa vile sio mzaliwa wa hayo maeneo.Ukimtongoza hakatai ila usiku anajibadili kuwa dume anakuamuru geuka anakula kalio(anakulawiti) kwa vile mlikutana kwenye maombi inabidi unyamaze.

kilichokupeleka kanisani ni maombi ua kutongoza ? Anyway shetani hachoki hata siku moja, alianza kumsaliti Mungu Baba kule mbinguni, akajaribu kueneza uongo siku Yesu alipofufuka,kwamba mwili wa Yesu umeibwa na hakufufuka, anajitahidi sana kuwafanya watu waone kazi za Mungu zinazoendelea duniani ni za kujitafutia kipato na si kumtafuta Mungu.

Wanadamu tutambue kwamba ipo siku Kristo atarudi kulichukua kanisa. Shetani anafanya kila awezalo kuchafua sifa nzuri ya wokovu na kazi za Yesu. Nia ya shetani ni kumpoteza mwanadamu. kwahiyo wewe unayedhani unamkomoa Yesu au walokole, kazi unayofanya ni kumpinga KRISTO. Wewe ni nani hata umpinge Mungu ? Tuache ushabiki wa kutafakari mambo kwa akili zetu bali tuzihusishe nafsi na roho zetu pia. mfano jiulize je, Mungu yupo, akili itakwambia uliwahi kumuona na shetani anacheza sana na akili za wanadamu. lakini ndani rohoni utahukumiwa ukikataa kwamba Mungu yupo. hii ndo kupamabanua mambo si kwa akili tu bali kwa roho.

Mfano hivi unaamini kweli mtu anayemwamini Mungu wa kweli akajigeuza mwanaume na kufanya uchafu kama huu. Definetely kama hii ni kweli basi huyo ni shetani na si mungu. Kwa nini unamsingizia uwongo Mungu aliyekuumba kwa mfani wake ? just to make funny kwenye jf ndo onadiriki kumdhihaki Mungu kama wale weliomtesa na kumsulubisha.

EEE ! MUNGU TUSAMEHE SISI WANADAMU,AKILI ZETU,KIBURI CHA UZIMA NA TAMAA ZA DUNIA ZIMUTUFANYA TUJITENGE NA WEWE ! TUSAMEHE NA UTUSAIDIE KUIFAHAMU KWELI,ILI ITUWEKE HURU NA VIFUNGO VYA SHETANI.AMEN
 
Mademu wengi wakishindikana kuolewa kitaa hukimbilia church,hapo ndo utajua kuna church goers na true worshipers!

Yesu hachagui shida ya kumsaidia mtu. kama wamemkimbilia Yesu basi wako salama,maana biblia inasema njooni kwangu ninyi nyote wenye kusumbuka na kulemewa na mizigo ya dhambi,nami nitawapumzisha ! je hii haitoshi kwa hao mabinti kwenda kanisani. Ua unaona ingekuwa vyema wakaenda kujiuza usiku !

Labda nikufahamishe kwamba kanisani ni mahali ambapo wenye dhambi woooote wanatakiwa waende kila siku ili wakapokee uzima wa milele. Kwa taarifa yako waliopo makanisani kila siku wanapanga namana ya kwenda kuwaleta wenye dhambi ambao hawaji kanisani ili waje wabadilike !
 
Back
Top Bottom