utamu unakolea....

utamu unakolea....

Ha ha haaaaaaa umeuaaa...
ukweli hata si utani....hiyo ilikua boarding school..na kitafunio ilikua ni mara 2 tu kwa wiki...akaona isiwe tabu...acha aasume
 
niliwahi kula wali kwa uji wa mchele..
nilikosa mboga,mchele upo,nikaupika uji.

Ndio mambo ya kula ugali na picha ya samaki

mambo ya bording school ugali kwa sukari.

Chai na mabungo.

mi nilikuwa napiga na chumvi

mkate na jam
561718_400734883352175_963099281_n.jpg
 
kozo okamoto si ungenambia tu mdogo wako nkakupa mboga nimepika mahanjumati tele tu hadi vimebaki naweka frijini....

Halafu hujapata changu maskini....

dah kweli leo neema itaniangukia,kila siku nalilia unionjeshe hutaki,leo umekubali? dadadeki!!!!,ngoja nikanawe mikono baharini ndo nije......sijapata lichangu lilionona,bado natafuta lililonona
 
dah kweli leo neema itaniangukia,kila siku nalilia unionjeshe hutaki,leo umekubali? dadadeki!!!!,ngoja nikanawe mikono baharini ndo nije......sijapata lichangu lilionona,bado natafuta lililonona

Kwani hiyo mikono ina nini hadi ikanawiwe baharini😱😱😱😱
 
Unataka kupewa taarifa wakati nusu chupa huwezi kunywa😛😛😛😛😛
haya bana,,,nawaona cku hizi wana wa ''pm'' wanywa chupa nzima wakija na promotion...
 
Mna utani na makabila ya watu si bure!
 
Back
Top Bottom