Utamu Dah

Msela kabaki na mwiko tu , alambe umatemate wa kwenye mwiko ashushie na kombe la maji akalale.
 
Hamna lolote huyo jamaa hanaga sahani ya kukiwekea ili kiweze kupoa vizuri, ila alivyokimwaga chini ni full kupooza alafu makamuzi yanaendelea.
 
Alale njaa kwa nini? C chakula icho apo chini! Cha msingi ni kuandaa dongo then unaketi chini style ya kiustadh unapiga menyu. Mchanga unatoa kwa ulimi, siku hioo!
 
59314_343414155757355_1288980826_n.jpg

maisha ya kibachela balaa tupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom