vallentino86
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 532
- 211
Habari zenu wadau wa JF,
Naombeni msaada juu ya namna gani naweza kuitambua Samsung orijino.
Asanteni sana.
Naombeni msaada juu ya namna gani naweza kuitambua Samsung orijino.
Asanteni sana.
Mimi nilikua na copy moja S4 test zote hizo ilikua inafaulu, sema aliyeniuzia aliniambia ukweli kua ni copy, ila kwenyr camera ilikua inatoa picha hafifu sanaWeka Samsung master code *#1234# display Firmware
Au
*#2222# display hardware version
Au
*#2767*3855# Reset
Au
*#0*# Test mode
Ahsante kwa nyongezaKuongezea Kwenye Point ya Alibakari, Ukweli ni kwamba unatakiwa kuwa muangalifu sana watengenezaji wa simu feki wameshajua kuwa watu wengi wanangalia simu fake kwa kutumia code hizo hivyo zipo simu fake zenye kuonyesha code hizo lakini kwa kuangalia tu kwa macho yako pamoja na kuongezea na test alizotaja Alibakari unaweza kupata simu original.Kwa mfano ukiangalia kwenye picha hapo juu utaona utafauti ambao unaweza kuona kwa haraka kwa kuangalia namba zilizo wekwa kwenye picha.
1. Kioo kinakuwa na mwanga hafifu na kinakuwa kimetengenezwa kwa plastick au glass ya bei rahisi.
2. Upana wa kutoka kioo mpaka ukingo kwenye simu feki unakuwa ni mkubwa sana
3. Kioo kinakuwa akina mwanga wa kuosha au kinakuwa na mwanga hafifu
4. Utakuta kuna baadhi ya Sensor ambazo hazifany kazi (hivyo ni vizuri kufuata hatua za alibakari ili kujua kama senseor zote zinafanya kazi)
5. Kibonyezo cha katikati (home botton) kwenye simu feki kinakuwa hakiko mahali kinapotakiwa
6. Logo ya samsung unapoigusa kwa kidole kwenye simu feki utaisikia kabisa ikikwaruza kidole yani haitakuwa smooth
Hayo tu ni machache ni vyema kuwa makini kwani njia hizi sio kwamba ndio zinaonyesha moja kwa moja hivyo ni vyema kuwa makini. Pia unaweza kuingia kwenye ukurasa huu wa TCRA kisah weka imei namba na utapata jina la simu kama itakuletea tofauti basi hiyo simu ni feki.
NATUMAINI ITAKUWA IMEKUSAIDIA
Mkuu mimi natumia Note 3, sasa nkiangalia izo picha mbili nmeona baadh ya sign basKuongezea Kwenye Point ya Alibakari, Ukweli ni kwamba unatakiwa kuwa muangalifu sana watengenezaji wa simu feki wameshajua kuwa watu wengi wanangalia simu fake kwa kutumia code hizo hivyo zipo simu fake zenye kuonyesha code hizo lakini kwa kuangalia tu kwa macho yako pamoja na kuongezea na test alizotaja Alibakari unaweza kupata simu original.Kwa mfano ukiangalia kwenye picha hapo juu utaona utafauti ambao unaweza kuona kwa haraka kwa kuangalia namba zilizo wekwa kwenye picha.
1. Kioo kinakuwa na mwanga hafifu na kinakuwa kimetengenezwa kwa plastick au glass ya bei rahisi.
2. Upana wa kutoka kioo mpaka ukingo kwenye simu feki unakuwa ni mkubwa sana
3. Kioo kinakuwa akina mwanga wa kuosha au kinakuwa na mwanga hafifu
4. Utakuta kuna baadhi ya Sensor ambazo hazifany kazi (hivyo ni vizuri kufuata hatua za alibakari ili kujua kama senseor zote zinafanya kazi)
5. Kibonyezo cha katikati (home botton) kwenye simu feki kinakuwa hakiko mahali kinapotakiwa
6. Logo ya samsung unapoigusa kwa kidole kwenye simu feki utaisikia kabisa ikikwaruza kidole yani haitakuwa smooth
Hayo tu ni machache ni vyema kuwa makini kwani njia hizi sio kwamba ndio zinaonyesha moja kwa moja hivyo ni vyema kuwa makini. Pia unaweza kuingia kwenye ukurasa huu wa TCRA kisah weka imei namba na utapata jina la simu kama itakuletea tofauti basi hiyo simu ni feki.
NATUMAINI ITAKUWA IMEKUSAIDIA
Kiaje yani, naomba maelekezo mkubwaMimi hutumia Antutu benchmark naangalia score then nalinganisha na standard scores za simu tajwa
hapo umenena CPU-Z ... Samsung kuanzia s 2 kuja juu zote hazitumii MEDIATEK, Hivyo kwenye chip nikikuta Mediatek tu sinunuidownload application ya cpu z then angalia hardware zake halafu compare na official hardware ambazo wamezieka kwenye specification.
MEDIATEK ni nin mana wengne mnatuacha njian mkubwahapo umenena CPU-Z ... Samsung kuanzia s 2 kuja juu zote hazitumii MEDIATEK, Hivyo kwenye chip nikikuta Mediatek tu sinunui
nilidownload na nilipolinganisha sehem zote ikawa inaeka tiki. Maana yake nin apo mkuu ?download application ya cpu z then angalia hardware zake halafu compare na official hardware ambazo wamezieka kwenye specification.