Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,254
- 44,363
hio ni namba ya usajili wa line imei ni *#06#*106# kama sikosei.
hio ni namba ya usajili wa line imei ni *#06#*106# kama sikosei.
hii ni original
Asante mkuu.hio ni namba ya usajili wa line imei ni *#06#
mahala simu ilipotengenezewa sio issue, inaweza andikwa made in usa au england na ikawa fake.nina sumsung J3 imetengenezwa VIETNAM je hii ni orijino kweli? ina miezi miwili na inachapa kazi vizuri tu
Naombeni msaada simu yangu samsung j7 prime inasumbua na sipati raha nikiwa natumia kuna apps zina display kila muda,nifanyaje ili nisipate usumbufu?
nenda setting halafu security halafu device administrator kuna nini na nini?Naombeni msaada simu yangu samsung j7 prime inasumbua na sipati raha nikiwa natumia kuna apps zina display kila muda,nifanyaje ili nisipate usumbufu?
Mkuu nimeona (1) erase all data (2)change the screen lock (3) lock the screennenda setting halafu security halafu device administrator kuna nini na nini?
angalia vizuri kama ni hapo nilipokuelekeza. unaweza eka picha kwa ufafanuzi zaidi?Mkuu nimeona (1) erase all data (2)change the screen lock (3) lock the screen
Ukiweka hvo ndo inakuaje tena mkuu,,,,msaada tafadhar kabla sijannua samsungWeka Samsung master code *#1234# display Firmware
Au
*#2222# display hardware version
Au
*#2767*3855# Reset
Au
*#0*# Test mode
Hizi kitambo kidogo Nilikuwa unatumia kucheck ikifunguma na vitu Ka asenskr kuturn into green and vibrating basi unajua simu ni Og. Lakini now days Hata mafamba yanafanya hii kitu.Ukiweka hvo ndo inakuaje tena mkuu,,,,msaada tafadhar kabla sijannua samsung
Mkuu naomba unijuze kuhusu Simu za Oppodownload application ya cpu z then angalia hardware zake halafu compare na official hardware ambazo wamezieka kwenye specification.
How?! Maelekezo mkuu...Mimi hutumia Antutu benchmark naangalia score then nalinganisha na standard scores za simu tajwa
ProcessorMEDIATEK ni nin mana wengne mnatuacha njian mkubwa
*#06#*#106# kama sikosei.
*#06#imei unaipata je, msaada
Kama uliinunulia dukani na una risiti yenye waranti..jaribu kuwapelekea watakusaidia..kama sio hivyo peleka kwa fundi simu mtaalamuSamsung Tablet S, SM-T7045 inastack, kioo giza lakini iko on wapi kuna mafundi