Utambulisho

Mr Acky

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
234
313
Hallow mambo vipi wanna JF, naitwa Akida Siri a.k.a acky secreat Mtunzi wa The Hidden Truth ambayo ipo humu nikiendeleza series. Karibuni sana mnipe changamoto
IMG-20211226-WA0001.jpg
 
Nilisahau kitu muhimu wajumbe

Niko na simulizi ya The Hidden Truth ( Ukweli Uliofichika)

Nimeiweka humu ikiendelea

Naomba ushirikiano wenu katika ufatiliaji hasa comments zinijenge kiuandishi

Hasa wale wapenzi wa Riwaya

Shukran
 
Back
Top Bottom