Utalipa shilingi ngapi?

Utalipa shilingi ngapi?

Kahiyo hamsini amekula hivi hivi ?
 
Juzi kati nilihudhulia kasemina fulani nikamzoea dada mmoja nikachukua namba nakiri nilimpenda balaa, jioni nikamwita mahali baada ya vinywa na milo ya kutosha nikamwambia tuondoke zetu.

Akaniuliza ''utanipa sh ngapi?' nikamwambia wewe unataka sh. ngapi? akasema hamsini, nikampeleka hadi kwake nikamtumia ile hamsini ila mpaka leo sipokei simu yake wala meseji.

Wanawake acheni hii makitu, K haiuzwi!
Pole mkuu! Umekutana na changudoa afu unamtoa out daaah! Huyo ilitakiwa umwombe mzigo straight sio kukutia hasara na kukuchoresha kwa watu wanaokuamini eti umeongozana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada nao wanajishusha heshima, shombo ya dagaa kama hii unapeleka kwako?? Bureeee Mungu saidia wadada wa namna hii
 
Kama ni mfanyabishara sidhani kama lengo lako la kumuathiri kisaikolojia lilitimia,sana sana atakuwa kashukuru kupata malipo pasi kufanyia kazi na isitoshe kala na kanywa, you won nothing bro..!
Ni mpumbavu tu anaweza kutoa hela yake na kususa kutomb.a demu itakuwa kashukuru sana .. Alichofanya mtoa mada ni uzembe first class
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom