CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,827
- 1,862
Mwenye nayo anauza wewe unasema haiuzwi unayo? Unajua ametumia gharama kiasi gani kuitunza hadi ukachanganyikiwa kumuona? Usifikirie tu K fikiria mwili wote ni kiasi gani kuutunza. Shida ni kudaiana pesa kabla ya mechi. Lakini akibipa kwa moyo na baada ya hapo akaniomba pesa nitampa kiasi chochote kulingana na uwezo wangu. Lakini kuwekeana masharti nitoe kwanza ndio atoe, hapo hapana. Tena napenda masuala ya pesa tuyaongee siku ambayo hatuna ratiba ya mechi kabisa. Hapo ndio natoa kwa moyo wote. Siku ya kugegedana ni nauli, vyakula na vimywaji basi.Juzi kati nilihudhulia kasemina fulani nikamzoea dada mmoja nkachukua namba,nakiri nilimpenda balaa ,jioni nikamwita mahali baada ya vinywa na Milo ya kutosha nkamwambia tuondoke zetu akaniuliza ''utanipa sh ngapi?'' hii nkamwambia wewe unataka sh ngapi akasema hamsini ,nkampeleka Hadi kwake nkamtumia ile hamsini ,mpaka Leo cipokei cimu yake Wala meseji shubamit ,wanawake acheni hii makitu k haiuzwi