Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Ungekula mpaka kucha tajiri,..au ndio upole umezidi[emoji3]Hahah!!!kuna Dada nimekutana nae juzi tanga tukiwa ktk ukumbi wa harusi.Dada zuriiii White macho mzuri.Basi tunatoka nikampa Business card anitafute.Kanitafuta kweli kaniuliza mahali nilipo(hotel). Nimemtajia,swali lililofuata ndio likanifanya nimkatae,kumbe anauza uchi...Sikuwa na tatizo LA kumpa pesa lakini kitendo chakuuliza utanipa ngapi kilinifanya nione naenda lala na jitu LA hovyooooo.