ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
hii 88% umetolea wapi?kuna utafiti umefanya?
naona umeandika vitu vingi sidhani km unaelewa uzito wa maneno uliyotoa...
will be back!.
nadhani wanaume wa hivo wapo wachache sana
Bora useme manake wamezidi
WANAUME LIVE LIVE kwa mwenendo huu inabidi uanzishe kipindi cha wanaume live
As nampenda mwanaume mmoja naamini na wengine wako safi wote.
Hivi mwanaume kusutwa napo ni suna? Maana mmmh!!!!! This is too much!
...imenibidi niwavulie nguo...
Huyo uliyenaye ndo yuko safi na si wote bestito wengi wao ni wambea sana tena sana na ndo mana nimeona niwape vipande vyao hapa livelive
sunaaaa! mhm!
Tena wanaumeni kweli bestito wamezidi sana ila wenyewe hawajijui wanadhani wako perfect kabisa kumbe, imenibidi niwavulie nguo niwaambie waache tabia hiyo sio njema kwao