ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,890
- 131,909
Yeah, niliitizama. Ila at the end ndoa ilikuwa ndoano.Kuna movie ya cku nyingi sana amecheza Demi Moore,inaitwa indicent proposal,maudhui yake yako kama swali lako
Yeah, niliitizama. Ila at the end ndoa ilikuwa ndoano.Kuna movie ya cku nyingi sana amecheza Demi Moore,inaitwa indicent proposal,maudhui yake yako kama swali lako
Viwango vya mahitaji vimepanda mkuu!!Hizi mada zinazoanzishwa siku hizi zinaashiria hitaji kubwa sana la Washauri wa saikolojia kwenye jamii. Inaonesha jamii kwa sehemu kubwa inapitia matatizo mazito sana kiakili na kifikra hivyo kuathiri uwezo wa kufikiri sahihi kuhusu matarajio, mitazamo na matamanio ya maisha yao.
Kama umeoa ama ni mwanaume kamili, sidhani kama unaweza hata kuwaza nusu ya hiki kilichoandikwa hapo. Tufike mahala tukubali kuwa sehemu kubwa za akili za wanaume wa Tanzania zimekumbwa na kiharusi cha fikra.
Mimi, hata kama nimekosana vipi na mwenzangu siwezi asilani kuja na wazo la kidebwedo namna hii
Hizi mada zinazoanzishwa siku hizi zinaashiria hitaji kubwa sana la Washauri wa saikolojia kwenye jamii. Inaonesha jamii kwa sehemu kubwa inapitia matatizo mazito sana kiakili na kifikra hivyo kuathiri uwezo wa kufikiri sahihi kuhusu matarajio, mitazamo na matamanio ya maisha yao.
Kama umeoa ama ni mwanaume kamili, sidhani kama unaweza hata kuwaza nusu ya hiki kilichoandikwa hapo. Tufike mahala tukubali kuwa sehemu kubwa za akili za wanaume wa Tanzania zimekumbwa na kiharusi cha fikra.
Mimi, hata kama nimekosana vipi na mwenzangu siwezi asilani kuja na wazo la kidebwedo namna hii
Yusufu alipata nafasi kama hii, yeye alikua mfanyakazi wa ndani (houseboy) mke wa boss wake akampenda, akamtaka alale naye, angefanya vile, angekula vinono pale ndani, na angeinuliwa kwasababu mwanamke ana nguvu kubwa kwa mume wake. lakini Yusufu akasema, NIMTENDEJE MUNGU DHAMBI KUBWA NAMNA HII? houseboy amepata opportunity ya kulala na boss ili awe anapata upendeleo lakini akaona yote hayo yanapita, siwezi kufurahia haya kwa kumkosea Mungu.Yaani pap mmeo anakuja ili tutokane na hii aibu lala tu na rafiki yangu atupatie huu mzigo ili maisha yaenda yasonge kweli utakubali ili uwe na hela na majigambo town nahuku unabuzi ambalo nimumeo kakuletea??
Mmefulia mnataka mtoke kimaisha sasa mumeo kaona ili mtokane na aibu hii ya umaskini wewe mke ulale na rafiki yake ili maisha yasonge muwe na maendeleo maana alimkubali mkeo siku mingi ukagoma . Na sasa unaona bora ukubali maisha yasongee. 👆👆👆👆👆 ndio namaanisha hapo juu.
Hapana mkuuKasome Lisa Cha Ibrahim na sara walipofika misri ugenini kule!
Mbona aliamua kumuuza make wake kwa mfalme Ili apate fadhila ya kukaa Kwa mfalme Kwa siku kadhaa!!....
Asisahau pia na Isaka na yeye aliwahi kumuuza Mkewe Rebeka..Kasome Lisa Cha Ibrahim na sara walipofika misri ugenini kule!
Mbona aliamua kumuuza make wake kwa mfalme Ili apate fadhila ya kukaa Kwa mfalme Kwa siku kadhaa!!
Akasingizia mkewe ni Dada yake,mfalme akambeba ,sijui ni nini kilitokea siku ya pili yake mfalme akamrejesha na kumlalamikia kwamba mbona umenidanganya huyu ninmkeo!!?
Haikuanza leo,hiyo Huwa inatokea SEMA haifanywi rasmi Bali mwenye make anajifanya kama haoni mradi ugali mezani!!!
Kuna mabosi wanakula wake za wafanyakazi wao na wenye wake wanajua lakini wanatulia TU!!
"Ile tetesi ya mwendazake na yule mama cheupe mwenye nyodo ambae huwa hachuji unaikumbuka!!?yule ambae anamiliki hospitali hapo dar ya ka ..i...r..u...k..I!!?unaikumbuka!!?
Hasta wenye nyumba wanakula wake za wapangaji wait lakini wamenyuti Ili maisha yasonge""!
Halafu ujue ukishamzalisha mwanamke watoto wengi kiasi wivu Huwa unaisha Wala haikuumi coz umekifu!!!
Hiyo IPO lakini sio official ni situational mjini hapa!
Usiniite mpuuzi maana sijalala na ndugu zenu wenye shida ya maisha . Halafu hujanizaa hunijui kazi ujinga tu kichwani kwako unawaza upuuzi tu huna hela katafute hela hayawani wewe malaya mzee uliyekosa soko badili gia uwe hanisi uzike kwa bei ya jumla ufumuliwe marindaHakuna mwanamke mwenye akili timamu atakayekujibu hili swali utajibiwa na wapuuzi wenzako.
KUna story mbili Mkuu..Hapana mkuu
Kasome upya kisa hiko utagundua ulichoandika hapo umepindisha facts. Alisingizia mkewe kuwa ni dada yake siyo kwa sababu ya kupata fadhila ya kukaa, bali aliona tishio la yeye kuuawa na mkewe kuporwa endapo atareveal ukweli.
Hivyo hiyo kufanyika hivyo was a mistake ndo maana Mungu bado alimtwanga kichapo Farao kwa kulala na mke wa Ibrahim. Na Ibrahim baadaye alihusika kufanya marejelezo ili Farao asiendelee kupokea kisago.
Moral of the story.
Usilale na mke wa mtu kwa kisingizio chochote cha kujua ama kutokujua
Sio mieHuyo mume au Pimp🤣🤣
Hi sir comment,Bali mahubiri😊Yusufu alipata nafasi kama hii, yeye alikua mfanyakazi wa ndani (houseboy) mke wa boss wake akampenda, akamtaka alale naye, angefanya vile, angekula vinono pale ndani, na angeinuliwa kwasababu mwanamke ana nguvu kubwa kwa mume wake. lakini Yusufu akasema, NIMTENDEJE MUNGU DHAMBI KUBWA NAMNA HII? houseboy amepata opportunity ya kulala na boss ili awe anapata upendeleo lakini akaona yote hayo yanapita, siwezi kufurahia haya kwa kumkosea Mungu.
tunapoishi, watu wengi huwa wanafanya dhambi makusudi kabisa kwa ajili ya kupata faida fulani, ni kama unavyosema ulale na mume wa mtu ili mpate favour yeyote. wengine wanalala na maboss ili wapate kazi wakati Mungu yupo anaweza kuwapa kazi, Yusufu alipokimbia akakubali hata aende gerezani haina shida ila asimtende Mungu dhambi, kulekule gerezani Mungu alimtokea akaja kuwa waziri mkuu hadi akawa boss wa mume wa yule mwanamke aliyetaka kukatisha ndoto zake za kuenenda kwenye mstari wa Mungu.
Ndugu zangu, kaka zangu, dada zangu, baba zangu na mama zangu, nawaomba kwa Jina la Yesu Kristo, msichezee neema ya Mungu. Biblia inasema Neema ya Mungu imefunuliwa kwetu nayo yatufundisha kukataa uovu na tamaa za dunia hii, tupate kuishi katika kiasi ya haki na utauwa katika ulimwengu huu wa sasa, tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu. tunawajibika kuacha uzinzi na dhambi zingine, ni lazima tuache, Mungu anataka tuache, na hata tukifanya tujue Mungu anatuona na anasikitika dhidi yetu, na tusichezee neema ya Mungu. usichezee uzima Mungu aliokupa, kwanini umkose Mungu kwasababu tu ya kazi, kwasababu ya pesa, kwasababu ya maisha ya dunia hii, kwasababu ya mwanamke au mwanaume, kwasababu ya chochote cha dunia hii? kwanini? kweli hayo ndio yakukosanishe na Mungu? hayo ndiyo yakufanye usiurithi uzima wa milele? kweli?
Mlango wa wokovu upo wazi, utaishi maisha ya aina hiyo hadi lini? kafara la wokovu lilishalipwa kwa Damu ya Yesu, utajitetea nini siku ile? there is no turning back ukifa, baada ya kifo ni hukumu hakuna kuombewa ukiwa maiti na padre na ukasamehewa, nafasi yako ya kusamehewa ni sasa, kama kungekuwa na nafasi ya kusamehewa kwa kuombewa ukiwa umekufa usamehewe hakika Yesu asingeagiza watu waokoke, waokoke nini wakati kuna option ya kuombewa na padre ukasamehewa dhambi? na haiji akilini kwamba ukifa uombewe na watu walioko duniani, kwanini wewe ambaye umeenda huko usimwambie tu Mungu hukohuko tena upo karibu? Ndio maana Biblia inasema baada ya kifo ni hukumu, hakuna msamaha. utakufa lini? hatujui, utakufa kwa ajali, kwa ugonjwa au ghafla hatujui, Yesu alisema kesheni basi kwa maana hamjui siku. omba Mungu kama kuishi uishi katiak BWana na kama kufa ufe katika Bwana. nawe uliyerudi nyuma, mrudie Mungu kabla hujakata pumzi. Mungu awasaidie.
Mkuu mbona unaacha mali nje hivyo😀😀
Kwani ukitenda utakufa? Mechi za ugenini zinakuaga nzuriLabda hili swali tuanze na wewe mwenyewe unique, wewe ungeweza kufanya hivyo? Why rafiki awape mtego wa hadi kulala naye ili awasaidie? Huo si urafiki, acha tufe na umaskini wetu tu
No no heshima ni muhimu kwanza rafiki kweli hawezi kuleta hizo stories, hili swali ni la kufikirika tu banaKwani ukitenda utakufa? Mechi za ugenini zinakuaga nzuri
Mmh why all that? ili mradi tu utoke na mke wa rafiki yako?Kama rafiki ni mimi unakubali alafu navaa mask lenye sura ya baby daddy wako, tunacheza mechi home and away kwa wakati mmoja