Utajiri wa Waarabu wa Tanzania

Bakhresa-
1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine na siyo Restaurant
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Fungua maduka Kariakoo/ Real Estate
Kazi ya tatu: Weka Viwanda vya maji/juice/ngano/unga wa sembe etc with support of corrupt money
from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
hapo wanazoiba serikalini.
Now is the First Tanzanian billionea.
Education: standard Four

Abood: 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Nunua mabas na kuanza transport company
Kazi ya tatu: Ubunge with support of corrupt money

Hood: 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine

Kwa nini wasomi wengi wa Tanzania hawafanyi biashara!!!

umekuja leo darisalama ?

anaglia mjini hapa kuna HIV....
 
Tatizo la waswahili ndo hili mtu akifanikiwa atutaki kujifunza ili na sisi tufanikiwe kinachobaki ni kukaa kijiweni na kuponda awww yule wauza pembe za ndovu , madawa , biashara ni mawazo kwanza , mtaji baadae , kuna mtu kasema point nzuri humu hatuna nidhamu ya fedha na biashara, watu wangapi tunawajua maofisini mfano wanapiga hela ndefu za rushwa ndio lakini zote zinaishia baaa na kununua magari mekundu , hawa watu watu hata ukimpa mil 200 itaisha tuu hajafanya la maana , sasa unapoona mjasiriamali kama bakhresa tunawaponda , tujaribu kujifunza kitu hayo tu make wadau washamaliza kila kitu .
 
Kuna mzungu aliwai sema Tz is the only country someone comes as a poor then after sometimes he leaves Tz as a rich person,thereafter he calls his relatives to come and harvest the riches of Tz.
Ofcourse nailaumu serikali yetu kwa kutokuwa makini na maliasiri zetu hasa Mbuga ya Ruaha na Selous kuna watu mpaka leo wanau hao wanyama

mtaje jina na hiyo ilikuwa lini?ndugu zake ni akina nani?ushahidi tafadhali
 
Serkali siyo kwamba,siyo makini,ni makini sana.Wanafanya dhamira safi kabisana hao waarabu wao kwa manufaa yao.Dawa iko jikoni inachemka M4C.
 
Wenzako walikuwa na malengo,na hayo ndio malengo yao waliyojiwekea ya kwamba nitauwa tembo, baadaye nitanunua mabasi ,nyumba baadaye nitakuwa mbunge,baadaye nitakuwa rais!,kila kitu kina malengo na pia kuwa flexible,kwenda na wakati.Lakini wabongo wengi malengo yao ni kuweka heshima bar, kununua gari kuubwa wakati hana hata mahali pa kulipaki zaidi ya kulipaki kwenye uwanja wa ccm pia wamekalia majungu,fitina na kuombea wenzao mabaya mfano hai ni wewe mleta mada!huu sio wakati wake unatakiwa na wewe ufikiri waliwezaje na mimi nijaribu,sasa huoni mmoja kati yao ameweza kumpa ajira mjomba wako yeyote na sasa ana survive,au ulita wawe kama wale wanaopata halafu wanueneza ukimwi kwa motokari nyekundu?
 
una wivu wa kike mkuu!kama govt yako haina sera nzuri za maliasili unamlaumu muarabu?kwa taarifa magari ya pindahutumika

Alikuwa ataka angalau mwizi awe Mzungu. Siyo kuwa anapinga rushwa, bali nani anafanya rushwa.
 
Have anyone ever pondered on the factors as to why most businesess started by most native Tanzanians failed?,while others owned by Arabs an Asians flourish all the way to subsequent Generations?,The question is why most buss started by Natives don't go beyond the first Generations?
 
wenzenu wajanja na wanatumis akili walizojaaliwa kwa umakini...utaishia kulalama tu badala ya kufikiria ni namna gani nawe utajikwamua kimaisha...fanya kazi acha majungu..hayajengi!...

Bakhresa-
1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine na siyo Restaurant
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Fungua maduka Kariakoo/ Real Estate
Kazi ya tatu: Weka Viwanda vya maji/juice/ngano/unga wa sembe etc with support of corrupt money
from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
hapo wanazoiba serikalini.
Now is the First Tanzanian billionea.
Education: standard Four

Abood: 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Nunua mabas na kuanza transport company
Kazi ya tatu: Ubunge with support of corrupt money
from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
hapo wanazoiba serikalini.

Hood: 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Nunua mabas na kuanza transport company
Kazi ya tatu: Ubunge with support of corrupt money
from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
hapo wanazoiba serikalini.

Kwa nini wasomi wengi wa Tanzania hawafanyi biashara!!!
 
Tatizo la waswahili ndo hili mtu akifanikiwa atutaki kujifunza ili na sisi tufanikiwe kinachobaki ni kukaa kijiweni na kuponda awww yule wauza pembe za ndovu , madawa , biashara ni mawazo kwanza , mtaji baadae , kuna mtu kasema point nzuri humu hatuna nidhamu ya fedha na biashara, watu wangapi tunawajua maofisini mfano wanapiga hela ndefu za rushwa ndio lakini zote zinaishia baaa na kununua magari mekundu , hawa watu watu hata ukimpa mil 200 itaisha tuu hajafanya la maana , sasa unapoona mjasiriamali kama bakhresa tunawaponda , tujaribu kujifunza kitu hayo tu make wadau washamaliza kila kitu .
Nakuunga mkono Mkuu
Watz wengi wavivu wakuumiza kichwa nakujituma badala ya kukaa tufikirie nasisi ubunifu tuepukane na umasikini kazi kukaa kuangalia waliofanio fanikiwa nakuwaponda, Tusipoamka nakujipanga nasi tujue tunatoka vp tunaishia kupoint wenye maendeleo ooohhh huyu fisadi,mara utajiri wake wizi wa pembe za ndovu, mwingine akiongelea rushwa mpaka tunazeeka bila ya mafanikio waliopata wao.
Angekuwa mwenye mafanikio hayo ni Baba yako ungeliongelea hilo.
Tuamke jamani kuwa watu action kama Wazungu.
 
Said Salim Bakhresa ashikilia aingia kwenye orodha ya matajiri Africa na kushika nafasi ya 30 kati ya 40 utajiri wake ni 520$ mil
 
Nakuunga mkono Mkuu
Watz wengi wavivu wakuumiza kichwa nakujituma badala ya kukaa tufikirie nasisi ubunifu tuepukane na umasikini kazi kukaa kuangalia waliofanio fanikiwa nakuwaponda, Tusipoamka nakujipanga nasi tujue tunatoka vp tunaishia kupoint wenye maendeleo ooohhh huyu fisadi,mara utajiri wake wizi wa pembe za ndovu, mwingine akiongelea rushwa mpaka tunazeeka bila ya mafanikio waliopata wao.
Angekuwa mwenye mafanikio hayo ni Baba yako ungeliongelea hilo.
Tuamke jamani kuwa watu action kama Wazungu.

Hayo ndiyo yanayonifanya katika malalamiko mengi na manung'uniko mengi utakuta kuna one third tu ndiyo unayoweza kufikiria, mengi yake ni majungu tu.
 
Bakhresa-
1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine na siyo Restaurant
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Fungua maduka Kariakoo/ Real Estate
Kazi ya tatu: Weka Viwanda vya maji/juice/ngano/unga wa sembe etc with support of corrupt money
from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
hapo wanazoiba serikalini.
Now is the First Tanzanian billionea.
Education: standard Four

Abood: 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Nunua mabas na kuanza transport company
Kazi ya tatu: Ubunge with support of corrupt money
from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
hapo wanazoiba serikalini.

Hood: 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Nunua mabas na kuanza transport company
Kazi ya tatu: Ubunge with support of corrupt money
from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
hapo wanazoiba serikalini.

Kwa nini wasomi wengi wa Tanzania hawafanyi biashara!!!
ACHA WIVU WA KIKE WEYE HAO WADANGANYIKA WANAOWEKEZA PESA HUKO USWISI HUSEMI UNAWASEMA WATU WANAOLISHA FAMILIA YAKO...KATIKA WATU WAZALENDO HAWA WAARABU WANAONGOZA KOZ HAKUTAKA KWENDA NJE YA NCHI...NA UTAJIRI WA BAKHRESA HATA FORBES WANAUJUA CHEKI HAPA Said Salim Bakhresa - Forbes
 
waarabu(ufisadi+uchawi=mafanikio). waafrika(ufisadi-uchawi-Mungu=umaskini).
 
Back
Top Bottom