Utajiri wa Waarabu wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utajiri wa Waarabu wa Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kokolo, Sep 23, 2012.

 1. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 453
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45

  Bakhresa-
  1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine na siyo Restaurant
  Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Fungua maduka Kariakoo/ Real Estate
  Kazi ya tatu: Weka Viwanda vya maji/juice/ngano/unga wa sembe etc with support of corrupt money
  from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
  hapo wanazoiba serikalini.
  Now is the First Tanzanian billionea.
  Education: standard Four

  Abood: 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine
  Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Nunua mabas na kuanza transport company
  Kazi ya tatu: Ubunge with support of corrupt money
  from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
  hapo wanazoiba serikalini.

  Hood: 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine
  Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Nunua mabas na kuanza transport company
  Kazi ya tatu: Ubunge with support of corrupt money
  from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
  hapo wanazoiba serikalini.

  Kwa nini wasomi wengi wa Tanzania hawafanyi biashara!!!
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,767
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwani weye wafanya biashara gani yahe?
  Your thread is off the cuff!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,477
  Likes Received: 1,842
  Trophy Points: 280
  una wivu wa kike mkuu!kama govt yako haina sera nzuri za maliasili unamlaumu muarabu?kwa taarifa magari ya pindahutumika
   
 4. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kweli mtu akiwa maskini sana huwa anatabia ya kuchukia kila mwenye pesa, watu wanashindwa kufanya kazi wamekaa kwenda kwenye maandamano na vjiwe vya kahawa mwisho wa siku wanakuja na wivu usio na maana mbona na waswahili kibao wana pesa na wao meno ya tembo? Kina mengi,wametoa wapi pesa?
   
 5. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 555
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwetu Tanzania utajiri dhambi kubwa sana.
   
 6. N

  Neylu JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,647
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mmmh... Utaishia kubwabwaja tuuu wenzio waleeeeeee.... !
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Kuna mzungu aliwai sema Tz is the only country someone comes as a poor then after sometimes he leaves Tz as a rich person,thereafter he calls his relatives to come and harvest the riches of Tz.
  Ofcourse nailaumu serikali yetu kwa kutokuwa makini na maliasiri zetu hasa Mbuga ya Ruaha na Selous kuna watu mpaka leo wanau hao wanyama
   
 8. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,181
  Likes Received: 2,803
  Trophy Points: 280
  Mwanamboka ndie alikuwa tajiri wa zamani kidogo akifuatiwa na yule wa Super Star... Pia kulikuwa na Sultani Aliyekuwa akimiliki Wilaya ya Same akiishi Ndugu kwa Wapare alimuacha mwanae na mwanae akamrithisha Mcharo...
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,591
  Likes Received: 9,524
  Trophy Points: 280
  formal education is not the KEY TO BUSINESS SUCCESS....
   
 10. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tunasoma Ili TUELIMIKE, TUFAIDIKE NA ELIMU, NA TUENDELEZE TAALUMA na MAENDELEO YOTE KWA UJUMLA KITAFITI NA WELEDI... Sio Ili Tuwe wafanya Biashara.

  NB: Halafu Usituletee Story zako za kusikia Mtaani Humu, Kama Una ushahidi Wa unayoyasema na unaipenda Nchi, Tafuta Mwanasheria Nendeni Mahakamani Mkawashitaki. Acha Chuki Binafsi, utakufa siku si zako kwa Stroke.
   
 11. mwakabhuta

  mwakabhuta Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona umeishia hapo tu? labda upeo mdogo, au una shortsightedness flani inakusumbua? unachosema kinaweza kikawa kweli lakini stori kama hizo ziko nyingi zinazohusu waTz wenzetu ngozi nyeusi ambao
  1. wangeweza na wao kuuwa tembo halaf wapige hela, wawekeze kwenye usafiri au kuuza sembe na maji ya kunywa
  2. wangeiba hela serikalini na kuwekeza badala ya kuhonga vigari vyekundu kwa wanawawake
  3. hata wewe una washikaji zako wanapiga hela za perdiem za wizi ofisini kwao (serikalini) halafu wanakuita "kula bata" mnakunywa hadi mnatia aibu lakini huwashauri kwamba wawekeze kwenye real estate etc.

  "...Na mtapiga kelele, kisha mtakufa bila kelele, kama walivyokufa wafuasi wa kibwetele. Bongo..." Prof. Jeezay
   
 12. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,856
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Ni kweli waarabu wengi wametajirikia biashara ya meno ya Tembo ingawa Bakhresa alipewa fidia ya pesa baada ya baba yake kuuawa na Karume kabla ya kuingia huko kule Iringa kuna matajiri wengine kama wakina Abri,Pili Mohamed ambao nao waliibukia kutokana na meno ya Tembo watanzania waliokuwa wanatumikishwa kuua na kubeba wengi walikuwa hawana akili ya kuwekeza baada ya jumuhiya ya kimataifa kuingilia kati wenzao waliwekeza kwenye biashara halali wao wakabaki hoe hae nimewaona watu wengi waliokuwa na pesa Iringa(watanzania) wakigeuka masikini mara baada ya hii biashara kutupiwa jicho na jumuhiya ya kimataifa
   
 13. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Bakhresa ni jitihada binafsi!

  Wangapi wanaanzia kuuza urojo na kuishia kuwa mabilionea? Mpe his due credits usimbania ame struggle!
   
 14. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mlete muhindi kutoka India leo hii mtupe bongo na Dollar 5000 halafu msahau baada ya miaka 10 uone habari yake, unaweza kukuta amenunua ghorofa Kariakoo.
   
 15. M

  Malila JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,297
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 280
  Wengi hawana nidhamu ktk matumizi ya mapato yao. Tutalalamika na kutoa hadithi nyingi weeeee, ukweli unabaki pale pale, nidhamu kwa kila jambo ni muhimu.
   
 16. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Tabu ya sisi wabongo starehe sana mtu akikamata vihela kidogo anasahau mke mpaka family kazi kuchukua wake za watu mpaka wake wake wa rafiki zake kisa pesa'sasa hapo mtu unategemea utatajirika lini?
   
 17. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,571
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Unataka kuwachafua watu wanaofanya bidii lakini hutafanikiwa. Hata tukiangalia kwenye hiyo biashara ya meno ya tembo - jiulize, watu wangapi wanafanya biashara ya meno ya tembo? je wote ni mabilionea? Ingawa hujaonyesha ushahidi wowote wa hao uliowataja kushiriki biashara haramu ya meno ya tembo bado umeshindwa kutambua kuwa vyovyote iwavyo wamethibitisha kuwa na uwezo zaidi wa kukua kibiashara ambao ni unique na unastahili kuwa fundisho wa wafanyabiashara wengine.
   
 18. B

  Bepali Senior Member

  #18
  Nov 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 180
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hii inatisha, na hood je huyu mtu mbona mimi simjui yukoje na huyu mwanambka je aliupataje utajiri wake?
   
 19. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,254
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Na asas je?

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 20. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,308
  Likes Received: 6,150
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa kabisa.

  Kwa hiyo we unasoma elimu ya biashara ili UELIMIKE tu na sio ili uitumie kufanya biashara? Hiki kweli ni kichekesho mkuu. Yaani unasugua benchi za shule miaka ili tu uwe umesoma na sio ili upate elimu na kuitumia.

  Kwa hiyo na madaktari nao wanasoma udaktari ili waelimike lkn sio ili wawe wafanya biashara?

  Unasema kufaidika na elimu (hapo kwenye red). Sasa unafaidika nini kama huitumiii? Una Bachelor ya Business Administration lkn huitumii kusimamia biashara zako umekaa kusubiri NBC wakuajiri, huko ndio kkufaidika mkuu? Mawazo mgando, tena janga kwa taifa mkuu

  Maendeleo yote kwa ujumla kitafiti na weledi: Sina hakika kama unajua ulichoandika au uliandika tu ili na wewe uwe umetoa maoni. Maendeleo gani yanakuja kwa kuwa watu wamesoma? Mkuu, kusoma peke yake haitoshi. Ili tuendelee tunahitaji wasomi watumie taaluma zao kwa nguvu ndio ufanisi upatikane.

  Tanzania ina biashara nyingi ambazo zinafanywa kwa kubangaiza na watu wasio na elimu ya biashara. Biashara za namna hii zinakosa tija kwa wenye nazo kukosa elimu ya biashara. Kama wewe unaamini unasoma biashara ili tu UENDELEZE FANI, basi sioni sababu ya kusoma, au sijakuelewa sehemu may be.

  By the way, mwanzisha mada ameuliza swali la msingi japo siungi mkono jealous zake. Ukiona umekesha madarasani na hutumii output yake kuishi basi hujaelimika bado. Jenga picha unajifunza kupiga piano miaka 6 halafu unafuzu na kutulia nyumbani badala ya kujiunga na kwaya au bendi
   
Loading...