Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Huo uzi wa Magere upo hapa JamiiForums??
 

Duh imeniuma sana japo siwez sema ni hvyo ila nimenikumbusha mwaka jana mwezi wa sita (6) mdogo wangu wa kike nae alikuwa anafanya kazi kwenye mgahawa posta ..siku alirud nyumban kaingia bafuni kuoga ile anataka aanze kuoga akahis kizungu zungu akaghahir kuoga akawa anarud chumban kwanza apumzike ile kafika mlango wa chumban kaanguka pale pale
Tukambeba na kumuwahisha rabininsia hospital pale tegeta
Akalazwa siku nne gharama sana pale tukamwamishia muhimbil (Moi) - wakasema mishipa kichwan imetanuka akafanyiwa upasuaj ukamalizika ila
Dah ….rest in peace my young sister
 
Ali mpemba huyoo alifanya yake.... natania
 
Kazi nzuri sana na hongera sana Kwa mapambano, visa vyako vinatoa mafundisho mengi yanayotunga na kutupa moyo vijana wenzako. Asante sana UMUGHAKA . Ukipata muda shusha nyuzi nyingine sie wasomaji wako kindakindai.
 
Big up sana.
Bantu Lady Bujibuji Simba Nyamaume Antonnia Ushimen Ambiele Kiviele Saint Anne Get Rich masai dada
Njooni mmalizie
 
Kaka #Umughaka tuandike kitabu sasa.... sisi tutachangia kwenye hilo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…