Dogo usibishebishe vitu usivyovijua. Nenda Makambako mtafute tajiri mmoja anaitwa Mchape utaelewa mtoa mada anachomaanisha.Uongo mwingine haufai. Hivi vitu vya hadithi za kusimulia si vya kuvileta katika jukwaa kama hili.
Sumbawanga ni jina tu linavumishwa na watu na kutumika kibiashara, lakini ushirikina wa nguvu upo Mbeya na Makete
pole sana ndugu yanguNimeishi huko miaka 15 ninefanya kazi halmashauri za mbozi,Makete,Njombe,songea na mbeya jiji
Ni kweli mtupu vitajiri uchwara vya huko vinalala nje,vinashindia andaz vimepaukaaa
Utajiri wa huko ni wa kudonoa kwa mwandulami ,mwakipande hovyo kbs
Nani unamjua njombe ana hela za mateso matesoSumbawanga ni ushirikina wa kuua watu...radi kwisha.
Njombe babu ni uchawi wa kupata hela ya matesomateso .
Hakuna uchawi kwenye hayo mashartiNi bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
so hizi ni fununu?Young D ft Ben pol ft Mwana FA-Fununu
Story bubuMwingine yupo Mbeya ana hotel kubwa sana pale SOWETO ni hotel ya mda sana ambayo inaitwa PEPO Kwa Kingreza jamaa analala chini na haruhusiwi kula chakula kizuri Aisee
Bado ni story, umesikia wapi mwandulami anatoa utajiri?Nimeishi huko miaka 15 ninefanya kazi halmashauri za mbozi,Makete,Njombe,songea na mbeya jiji
Ni kweli mtupu vitajiri uchwara vya huko vinalala nje,vinashindia andaz vimepaukaaa
Utajiri wa huko ni wa kudonoa kwa mwandulami ,mwakipande hovyo kbs
Kiaje yani?Story bubu
Ni fununu tuso hizi ni fununu?
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako
Mwandulami anatoa utajir wa kishirikina kwa kudonoa na kuku nenda nyumba nitu utaupata hata LéoBado ni story, umesikia wapi mwandulami anatoa utajiri?
Njoo Kilimandjaro uone matajir wanavyokula Bata huwez kuwa tajiri alafu ushinde umevaa kifala fala,huna nyumba nzur nk huo utakuwa utajir wa mashartipole sana ndugu yangu
99% ya wote wenye ViHéla huko Njombe Ni vijipesa vya matesoNani unamjua njombe ana hela za mateso mateso
Mbna ukikiuka hayo masharti mambo yako yanaenda mrama?Hakuna uchawi kwenye hayo masharti
Kwa Mfano usitembeee na mwanamke mwingine,hiyo ni kubana matumizi tu.
Kuvaa ndala ni kubana matumizi tu.
Usinye choo cha Nyumbani
Hapo Mzee usikaekae Nyumbani nenda katafute pesa mtaani.
Hamna ushirikina Wala ndagu hapo ni discipline ya kutafuta hela na kutumia pesa vizuri.
Hahaha mm nilifanya kaz halmashauri ya Makete kwa miaka 5 kabla ya kuhamia mbeya jiji naifahamu A to ZMkuu unanunuaga bado mbao !!
Hahaha utajir wa kingese huoNi yule alikuwa na duka pale mjini nini alikuwa na ndevu hv.. walikuwa wanaliita duka la uchi. Nasikia alikuwa anajisadia haja kubwa porini.
Mhh! Yakhe hiyo wapi, Chakechake, Konde, Micheweni, Mkanyageni, Kojani, Chwale, Junguni, Konde au Fundo????Utajiri wa Pemba una sharti moja tu..... Umkule mkeo tigo muda wa mchana. Basi
AiseeMwandulami anatoa utajir wa kishirikina kwa kudonoa na kuku nenda nyumba nitu utaupata hata Léo
Vitajir vingi vya huko vina huo utajir feki vinatia huruma,mtu tajiri alafu anashindia maji,Havaí vizur,analala nje,utajiri gan huo? Si ufala?
Au wengine Wana ule utajiri wa kuoza yaan unakufa unaoza then una ji update Tena
Mkuu mm huko nafahamu A to Z hunidanganyi kitu i
had been lived there for 15 years
Naam Mimi nimefanya kazi huko kusini kwa almost 15 years mkuu,vitajiri vingi 90% vina huo utajir feki na vinakufaga Kama kukuAisee