Utajiri wa masharti ni mateso

Sharti linakuwa 1 tu mfano usivae kiatu zaidi ya ndala. Haya niambie, umebana bajeti gani?
 
Hahahaaa...hizo ndumba au anafanya monitoring ya project yake?
 
kuna mwingine habari za kitaa wanadai ameambiwa ni marufuku kunya chooni,,yani yy mavi yakibana basi anatakiwa akimbie porini au atafute kichaka ndio anye,,ole wake sasa athubutu kunya chooni,,unaambiwa kuliko anye chooni ni bora ajifungie kwenye gari yake akate gogo kwenye rambo ndio atoke,,na gari yake ni Tented
 
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao
Furaha unajipa mwenyewe; kila mtu anayo namna anvyokamilisha furaha yake. Wengine hukesha wakibwia unga, wengine hukesha wakinywa pombe kali, wengine hukesha...................... usimchagulie mtu namna ya kufurahia maisha
 
Nenda na kule Rombo kisha utuletee mrejesho.
 
Ila mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo

Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma

Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana
Unaweza kumwona hivyo mchana ila si bure usiku analala bafuni au chooni akiwa uchi wa mnyama.
 
S
Sasa kama ndio amejichanganya mitaa ya Kariakoo kwa mfano halafu gogo linapiga hodi, gari kapaki mbali itakuwaje hapo na vichaka hakuna?
 
hakuna pesa inayokuja kirahisi
 
na uhakika yule mark zuckerberg na ule mtisheti wake mmoja kila siku angekuwa bongo angeshaitwa mwanga au anatumia ndumba kabla hajafikia hata hapo alipo... lifestyles za watu zisitupumbaze tukahisi ni ndumba anatumia
 
na uhakika yule mark zuckerberg na ule mtisheti wake mmoja kila siku angekuwa bongo angeshaitwa mwanga au anatumia ndumba kabla hajafikia hata hapo alipo... lifestyles za watu zisitupumbaze tukahisi ni ndumba anatumia
Watu wangejua mpaka mganga wake 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…