TRUE TANZANIAN
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 433
- 472
Mshana asa kama umeenda kutafuta utajiri let say huu wa punje za mahindi kuliwa na kuku.... kihalisi labda kuku kala punje mbili ikiwa na maana utaishi miaka miwili. Swali langu hapa unakuwa umekufa kifo cha kuchukuliwa msukule au unakua ndo umekufa kifo cha mapenzi ya Mungu?