Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

Achana na mambo ya ajabu ajabu ya uchumi wa gesi...kwa sasa tuko kwenye uchumi wa viwanda...mambo ya gesi yashakuwa zilipendwa.
Kabla ya hapo tulikuwa na kilimo kwanza matrekta kibao yakaagizwa na kujazwa Dsm. Je kilimo kwanza kimefikia wapi?! Maana huwa tunasikia tu wakulima wakizuiliwa kuuza mazao yao nje
 
yawezekana hufuatilii masuala ya nchi yako, ila umeendekeza siasa. gesi haijaanza kuchimbwa, ila mchakato unaendelea na sasa mazungumzo ya kujenga NLG plant mkoani lindi kwa makampun washirika na serikali unaendelea. mchakato wa gesi is not an overnight event, it is a process, inapitia procedures mbalimbali. ges inayotumika sasa ni ya mda mrefu kutoka msimbati na songosongo, na ndio inayosafirishwa kwa bomba hadi dar es salaam. kama hujui jambo ni vema ukatafuta taarifa sahihi kuliko kubwabwaja tu mitandaoni

!
!
Hivi process ndefu kwa kiswahili ndio mchakato, au?
Kama ndivyo basi selikali iko kwenye mchakato wa mkurabita pale mkukuta
 
Mkuu nafahamu yote hayo unayoyasema,kitu ulichonifurahisha ni vile ulivyosema kwamba kwa akili yangu nafikiri kwamba sisi tunazalisha dhahabu nyingi kuliko hata South Africa acha utani Mkuu,ha ha ha ha!
Unataka kuniambia kwamba Australia au hata USA walichezewa hivi hivi kama tulivyochezewa sisi? ha ha ha! yaani hata wenyewe hawakufaidika chochote? unafikiri mimi nazungumza kupata nini na kukosa nini.
Unaamini kabisa kwamba haya yaliyokuwa yanaendelea hapa nyumbani ndiyo sera ya madini Duniani kote?
Unadharau dharau haya madini ulitaka Mungu akupe nini,ulisha wahi kufanya biashara ya Almasi wewe au Dhahabu wewe? Ok kwa sababu madini siyo bigi deal hebu nipe mipango ya gas ya deep sea unayoijua kwamba pindi tutakapo anza kuvuna itatutoa hapa tulipo na kutufikisha hatua moja mbele.
Namshukuru sana president Pombe kuwakaba hawa vibaka hata kama tumechelewa na ikiwezekana wafunge kabisa hii migodi yao, maana nikisema yetu, natenda dhambi, yao waondoke na hii biashara ya migodi ikufilie mbali.
Kama unavyosema kwamba madini siyo deal inabidi uende Congo ukawaambie waache kuuana maana madini siyo big deal, ikiwezekana pia mshauri Hn president tuwatoe vijana wetu kule ili wasiendelee kupigwa risasi na wale waasi.
I doubt kama umezingatia umuhimu wa phrases nilizotumia!

Je, nadhani Australia na US walichezewa kama tulivyochezewa sahihi?

Jibu la hilo swali lipo kwenye mfano wa migodi niliyokutajia! Kwa makusudi nimekutajia migodi mikubwa kabisa North America na yote ipo US. Nimekupa changamoto uangalie wao wanazalisha KIASI gani lakini sio kwamba uangalie sisi tunaobiwa!

Hapa nilitaka uone gold production from larger gold mines duniani ili upate picha ya nini tunazalisha unless kama unataka kusema Tanzania ndiko kuna migodi mikubwa zaidi ya dhahabu kuliko sehemu nyingine yoyote ile duniani!

Ukipata picha ya nini tunazalisha, pia utapata picha ya nini nchi inaweza kuingiza!

Aidha, nimekutajia migodi ya USA kwa kuamini hata kama nao wanaibiwa si kwa kiwango tunachoibiwa sisi!

Vile vile kwa kuangalia takwimu ambazo probably ndizo sahii zaidi, hapo utalinganisha na takwimu za akina Prof. Mruma zinazoonesha ni jinsi gani tunaibiwa.

Hailekei kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa hii sekta and so, nitakusaidia!

Ripoti ya Prof Mruma ilisema, from makinikia; kiwango cha chini kabisa cha dhahabu kilichoonekana ni 28kg/container na kiwango cha juu ni roughly 47.5kg/container! Which means, by average ni angalau 35kg/container!

JPM akasema kwa mwaka yanasafirishwa takribani makontena 3600!

Ukipiga hesabu, utaona hapo ni takribani tani 135 za gold kutoka kwenye MAKINIKIA PEKE YAKE!

Kwa mahesabu hayo ya akina Mruma, una haki ya kulalamika kweli kweli kwa sababu inaonesha makinikia peke yake inatoa dhahabu karibu nusu ya dhahabu yote iliyozalishwa Australia mwaka 2016 no wonder tukafikia mahesabu ya kudai trilioni 400+

Kwamba nilishawahi kufanya biashara ya madini has nothing to do na hoja yangu! REMEMBER: Zingatia phrases ninazotumia! Ukisoma post yangu nimetumia phrase "at country level." At individual or firm level madini ni big deal kwa sababu; ukipata 100kg hizo ni zaidi ya TZS 4 billion. Ukizalisha tani 1 utaingiza zaidi ya TZS 40 Billion. The problem, hata kama bei yake ni kubwa sana lakini uzalishaji wake ni mdogo na hiki ndicho huwa hamuangalii! Kwa mfano, dhahabu inayozalishwa duniani kote kwa mwaka ni tani 3100. Matokeo yake, kutokana na upatikanaji wake; net value haifikii matarajio mnayodhani yapo kwenye madini!

This has nothing to do with kumshukuru Mungu hoja ni kiwango cha uzalishaji! Always tunafanya overestimation kwa kuangalia tu bei yake bila kuangalia uzalishaji wake!

Last but not least, HAKUNA anayesema hatuibiwi! Hayo masuala ya kuibiwa tushazungumza sana! Hoja ni Je, hicho tunachoibiwa ndo kama tulivyoambiwa na akina Prof. Mruma? Kama ndivyo, basi Buzwagi na Bulyanhulu ndio migodi mikubwa kuliko yote duniani! Dhahabu inayozalishwa na makinikia yetu peke yake inazidi dhahabu yote inayozalishwa Afrika Kusini na madai kwamba South Africa ndie mzalishaji mkubwa wa dhahabu yatakuwa ni madai ya uongo!!
 
walitudanganya kwamba baada ya gesi suala la bei ya umeme ungeshuka bei kwa 50% sasa imekuwa kinyume chake
 
Ok sawa kama akina prof Mruma zile report zao zilkuwa ni chai kwanini Mh Rais alivyozuia yale makontena wenye migodi wakapagawa?,unazungumzia gharama za uzalishaji,hivi unafikiri kampuni inaweza kuwekeza billions of money bila kujua faida au kilichopo chini ya ardhi wanakuja kuchimba bila kujua kilichopo?
Halafu hebu niambie unauhakika gani na zile ripoti za hawa jamaa kwamba kile wanachopata kule shimoni au ile dhahabu inayochomwa pale gold room ni kiasi kile kile cha kwenye zile ripoti zao,think mkuu.
hivi unajua niliwahi kukaa kwenye mgodi flani hivi kwa kazi maalum i know what was going on,hivi tani moja ya mchanga itoe 1gm ya dhahabu halafu Helikopta ifate mzigo kwa wiki mala 4 tena inaenda na kurudi mala mbili kwa siku?
Mimi naona wewe NOAH nyeupe inakufaa.
 
Hadi sasa ripoti zinaonesha 57 trillion cubic feet ambayo ni takribani 1.6 TRILLION Cubic Meters!

1. Gas sio story but it's real... ninachoona ni mitazamo tofauti kati ya JK na JPM. Wakati JK aliamini katika uchumi wa gas, JPM anaonekana kuamini katika uchumi wa madini (achana na porojo za viwanda).

2. Kwamba Gas imechukuliwa na Wachina ni propaganda tu za kisiasa! Kilichofanyika hadi sasa ni exploration tu... uchimbaji wa gas hujafanyika kabisa.

Na katika kufanya exploration, ni makampuni ya mafuta ya Ulaya na America ndiyo yalifanya hiyo kazi kwa pesa zao wenyewe.

There's no way mtu anaweza kutumia mabilioni ya shilingi kufanya exploration halafu agundue gas kisha ampe Mchina.

3. Uchimbaji wa gas, hususani inayopatikana kina kirefu ni very expensive! Industry ya oil na gas kwa ujumla wake ni very expensive! Angalia tu kile kiwanda ambacho kilikuwa ndio kiwe gas processing plant... kilikadiriwa kufikia gharama ya $30 Billion.

So, kwa mazingira ya sasa ambayo serikali haitabiriki itakuja na jambo gani, ni kama limefanya investors wanarudi nyuma kusikilizia! Na wala sioni kama ni top priority ya JPM ukilinganisha na anavyohangaika na madini!

Na lile bomba la gesi lililojengwa Kutoka mtwara hadi dar (km 504) ni kwa matumizi gani?
Moja ya swali lililojibiwa na TPDC vizuri ni hili ==> . "Kwa kuwa bomba la gesi asilia kutoka Mtwara hadi
Dar es Salaam linatarajiwa kukamilika na uzalishaji
wa gesi hiyo kuanza mwezi Septemba mwaka 2015,
Watanzania na wateja kwa ujumla watafaidika
nini?"
Kupitia kiunganishi hiki ==> http://www.tpdc.co.tz/pdfstuff/FAQ.pdf.
 
Ndugu, nakushauri tena uwe unanisoma kwa vituo huku ukizingatia phrases ninazotumia! Kwa mfano unasema:
....unazungumzia gharama za uzalishaji,hivi unafikiri kampuni inaweza kuwekeza billions of money bila kujua faida au kilichopo chini ya ardhi wanakuja kuchimba bila kujua kilichopo?
Hakuna popote nilipozungumzia suala la gharama za uzalishaji na hata kama ningezungumzia reference yangu kamwe isingekuwa Tanzania ambako tayari tuna takwimu zetu wenyewe!!! Sana sana, ningekupa mfano wa Australia ambako mwakajuzi Barrick Gold walilazimika kuuza moja ya migodi yao nchini humo ili ku-recover madeni!

Hebu wasome Reuters hapa:
Barrick Gold , the world’s top gold producer, has agreed to sell its Cowal mine to Evolution Mining for $550 million in a deal that will turn Evolution into Australia’s second largest producer of the precious metal.
Sifa za Cowal Mine? Endelea:
The deal gives Evolution a large, low-cost mine that will boost its output to around 800,000 ounces a year, around one-third the output of top Australian producer Newcrest Mining .
Ingekuwa sisi hapa tungesema HAIWEZEKANI, tunaibiwa!! Haiwezekani mgodi unaoingiza MATRILIONI ya Dola halafu leo waseme wanauza kwa $550 Million!

Btw, kwanini walikuwa wanauza huo migodi na mingine? Hapa tena:
Barrick put Cowal up for sale along with its Porgera mine in Papua New Guinea, among other assets, in an effort to cut debt by $3 billion by the end of this year.
Aidha, kama ningetaka kutoa mfano wa production cost, ningekupa mfano wa US, kwa kujiongeza, wasome mwenye Forbes hapa!

Narudia... sijazungumza popote suala la gharama za uzalishaji na kama papo; NIONESHE! Nilichosema ni UZALISHAJI, yaani kiwango cha madini yanayozalishwa! Na kwavile Tanzania tuna takwimu zetu wenyewe, sikuzungumzia uzalishaji wa migodi yetu bali kwenye nchi zetu! Tena sio kutoka shithole countries bali kutoka US ili upate picha ya gold production!
Kisha unadai kwamba:
Halafu hebu niambie unauhakika gani na zile ripoti za hawa jamaa kwamba kile wanachopata kule shimoni au ile dhahabu inayochomwa pale gold room ni kiasi kile kile cha kwenye zile ripoti zao,think mkuu.a.
Zile ripoti zipi?! Narudia, kwa kufahamu sisi tuna takwimu zetu wenyewe, sijazungumzia ripoti yoyote kwa hapa Tanzania hususani kwa hao ambao tumeshasema ni wezi. Kama kuna mahali nimetaja ripoti ya Acacia, au Ripoti ya Barrick kwa migodi yake ya Tanzania, NIONESHE!

Ripoti niliyoitaja ni miongoni za zile takwimu zetu wenyewe... Ripoti ya Profesa Mruma inayosema makinikia peke yake inazalisha tani 135! Ripoti inayosema tunawadai Barrick Dola 190 Billion... pesa ambayo hata tajiri namba moja duniani, HANA!!

Hapa pia, nilitoa mfano wa migodi ya US... so, kama na US nao ni shithole wanaoibiwa na Barrick, basi sawa! Na huwa natoa mfano wa huko kwa sababu NAHISI wenzetu sio shithole wanaoweza kuibiwa kirahisi rahisi tu tena na makampuni ya nje!
hivi unajua niliwahi kukaa kwenye mgodi flani hivi kwa kazi maalum i know what was going on,hivi tani moja ya mchanga itoe 1gm ya dhahabu halafu Helikopta ifate mzigo kwa wiki mala 4 tena inaenda na kurudi mala mbili kwa siku?
Mimi naona wewe NOAH nyeupe inakufaa.
Mbona kama unachanganya habari hata kama ulikaa huko migodini?! Suala la tani moja ya mchanga wanayodai inatoa 1gm of gold ina uhusiano gani na ujaji wa helikopta? Au unazungumzia mchanga upi? Manake kama ni makinikia, kwanini ije helikopta mara 4 kwa wiki kuchukua dhahabu inayotokana na makinikia wakati makinikia inasafirishwa?

Na hata kama unazungumzia hayo makinikia, ni wapi umepata habari kwamba kwenye tani 1 ya mchanga kuna gram moja ya dhahabu? Hapa JF ililetwa Ripoti ya Makinikia kutoka kwa Profesa Mruma, na kwa mujibu wa maelezo yao walisema kwamba:
Taarifa tulizopata kutoka kwa wazalishaji pamoja na Wakala wa Serikali wa Ukaguzi Madini (TMAA) zinaonesha kuwa makinikia yana wastani wa takriban 200 g/t. Kiwango hiki ni sawa na kilo 4 za dhababu kwenye kila kontena.
Sasa wewe habari za 1 g/t umezitoa wapi?!

Unajua tatizo letu Watanzania huwa tunapenda habari za kuokoteza badala ya habari kutoka reliable sources na matokeo yake, Wanasiasa kila siku wanatudanganya na Wawekezaji pia wanatudangaya!!

Na hata tunapowashitukia Wawekezaji kwamba wanatudanganya, huwa hatuna uwezo wa kuwabana kwa hoja kwa sababu hoja zetu mara nyingi huonesha wazi wala hatufahamu tunadai au tunaibiwa nini na kwa kiwango gani!!!
 
Mleta uzi anasahau mswaada ulipitishwa usiku wa manane, wapinzani hawahawa wakiwa wamefukuzwa ukumbini na spika. Ile ilikuwa kuiuza gas hiyo kwa mikataba sawa na ya madini mengine. WaTz hatuna wa kumlaumu tujilaumu wenyewe kwa kuendekeza uongozi huu wa CCM.
Siyo tujilaumu,,bali tukiulize kama Tumeumbwa hivi kweli au tumelaaniwa?
Si ccm, cdm wala act ni sisi waafrica..
 
Siasa ni saysnsi siyo ushabiki.
"By dr Slaa."

Wengi humu ni mashabiki wa vyama wanachosha kusoma miandiko yao.
 
Siyo tujilaumu,,bali tukiulize kama Tumeumbwa hivi kweli au tumelaaniwa?
Si ccm, cdm wala act ni sisi waafrica..
Kabla hujalaumu Waafrica kwa ujumla, na hata kivilaumu cdm au ACT . Hapa kwetu waliopewa dhamana ya kusimamia kila kitu, ikiwemo rasilimali na ustawi wetu, tokea uhuru ni CCM na serikali zake !!! Watakwepaje lawama kwa hii mikataba ya miaka 100 kwa mrahaba wa 3percent ??!!!
 
Kabla ya hapo tulikuwa na kilimo kwanza matrekta kibao yakaagizwa na kujazwa Dsm. Je kilimo kwanza kimefikia wapi?! Maana huwa tunasikia tu wakulima wakizuiliwa kuuza mazao yao nje

Tena tender ile ya matrekta akapewa Jeetu Patel kutokana na hela za EPA zilizorudishwa. Shilingi 70bn kama.sijakosea! Huyu Jeetu akiwa ni mtuhumiwa wa EPA hiyohiyo.
 
Ndugu, nakushauri tena uwe unanisoma kwa vituo huku ukizingatia phrases ninazotumia! Kwa mfano unasema:
Hakuna popote nilipozungumzia suala la gharama za uzalishaji na hata kama ningezungumzia reference yangu kamwe isingekuwa Tanzania ambako tayari tuna takwimu zetu wenyewe!!! Sana sana, ningekupa mfano wa Australia ambako mwakajuzi Barrick Gold walilazimika kuuza moja ya migodi yao nchini humo ili ku-recover madeni!

Hebu wasome Reuters hapa:Sifa za Cowal Mine? Endelea:Ingekuwa sisi hapa tungesema HAIWEZEKANI, tunaibiwa!! Haiwezekani mgodi unaoingiza MATRILIONI ya Dola halafu leo waseme wanauza kwa $550 Million!

Btw, kwanini walikuwa wanauza huo migodi na mingine? Hapa tena:Aidha, kama ningetaka kutoa mfano wa production cost, ningekupa mfano wa US, kwa kujiongeza, wasome mwenye Forbes hapa!

Narudia... sijazungumza popote suala la gharama za uzalishaji na kama papo; NIONESHE! Nilichosema ni UZALISHAJI, yaani kiwango cha madini yanayozalishwa! Na kwavile Tanzania tuna takwimu zetu wenyewe, sikuzungumzia uzalishaji wa migodi yetu bali kwenye nchi zetu! Tena sio kutoka shithole countries bali kutoka US ili upate picha ya gold production!
Kisha unadai kwamba:Zile ripoti zipi?! Narudia, kwa kufahamu sisi tuna takwimu zetu wenyewe, sijazungumzia ripoti yoyote kwa hapa Tanzania hususani kwa hao ambao tumeshasema ni wezi. Kama kuna mahali nimetaja ripoti ya Acacia, au Ripoti ya Barrick kwa migodi yake ya Tanzania, NIONESHE!

Ripoti niliyoitaja ni miongoni za zile takwimu zetu wenyewe... Ripoti ya Profesa Mruma inayosema makinikia peke yake inazalisha tani 135! Ripoti inayosema tunawadai Barrick Dola 190 Billion... pesa ambayo hata tajiri namba moja duniani, HANA!!

Hapa pia, nilitoa mfano wa migodi ya US... so, kama na US nao ni shithole wanaoibiwa na Barrick, basi sawa! Na huwa natoa mfano wa huko kwa sababu NAHISI wenzetu sio shithole wanaoweza kuibiwa kirahisi rahisi tu tena na makampuni ya nje!Mbona kama unachanganya habari hata kama ulikaa huko migodini?! Suala la tani moja ya mchanga wanayodai inatoa 1gm of gold ina uhusiano gani na ujaji wa helikopta? Au unazungumzia mchanga upi? Manake kama ni makinikia, kwanini ije helikopta mara 4 kwa wiki kuchukua dhahabu inayotokana na makinikia wakati makinikia inasafirishwa?

Na hata kama unazungumzia hayo makinikia, ni wapi umepata habari kwamba kwenye tani 1 ya mchanga kuna gram moja ya dhahabu? Hapa JF ililetwa Ripoti ya Makinikia kutoka kwa Profesa Mruma, na kwa mujibu wa maelezo yao walisema kwamba:Sasa wewe habari za 1 g/t umezitoa wapi?!

Unajua tatizo letu Watanzania huwa tunapenda habari za kuokoteza badala ya habari kutoka reliable sources na matokeo yake, Wanasiasa kila siku wanatudanganya na Wawekezaji pia wanatudangaya!!

Na hata tunapowashitukia Wawekezaji kwamba wanatudanganya, huwa hatuna uwezo wa kuwabana kwa hoja kwa sababu hoja zetu mara nyingi huonesha wazi wala hatufahamu tunadai au tunaibiwa nini na kwa kiwango gani!!!
Wewe ni mtu wa ajabu sana,mimi naongelea habari zingine wewe naye unaongea mambo yako.
Unarukia rukia mambo sana,hivi wewe mhenga mchanga wa dhahabu ni makinikia tu,kwa hiyo nilivyozungumzia habari za helikopta kuja mara 4 kwa wiki wewe ukajua naongelea makinikia au nilivyozungumzia 1g/t ukawa hujui hii habari nimeitoa wapi, sasa kama huijui kwanini tuendelee kuzungumza ili hali vitu ninavyovizungumza hapa huvijui?
Hivi unajua katika makundi kadhaa kama vile high grade,medium grade na low grade,mimi nilizungumzia high grade kuwa tone moja ya mchanga wa dhahabu (high grade) unatoa 1g ya dhahabu,sasa iweje kiasi hicho kidogo kinachopatikana kwenye dhahabu helikopta ije mara 4 kwa wiki tena asubuhi na jioni? huoni kama kuna udanganyifu hapo? umeng'ang'ana kunielezea migodi mikubwa ya barrick huko Marekani ya kazi gani wakati mimi nakusimulia habari ambazo nimeziona kwa macho yangu hapa hapa nyumbani wala siyo huko kwenu Marekani.
Hivi unajua kuna sehemu ndani ya migodi humo humo kuna maeneo ambayo yana dhahabu pyua,maarufu kama shikole kwa jina la nyumbani, tena sehemu hizi zinalindwa 24hrs.
Hebu tufanye kitu kimoja madini siyo deal.
 
Mleta uzi anasahau mswaada ulipitishwa usiku wa manane, wapinzani hawahawa wakiwa wamefukuzwa ukumbini na spika. Ile ilikuwa kuiuza gas hiyo kwa mikataba sawa na ya madini mengine. WaTz hatuna wa kumlaumu tujilaumu wenyewe kwa kuendekeza uongozi huu wa CCM.
Mhi mkuu mbona ccm na uongoz wa awamu hii ya tano mbona uko vizur tatzo nn
 
Hivi wewe ulidhani mtu kama raisi Magufuli alikosa vision ya uchumi endelevu angezingatia kuendeleza uchumi wa gesi japo iliandikwa kwenye ilani yao na yeye kutwa kucha alikuwa akisema kwenye kampeni kaingia ikulu anatapanya tu pesa za walipa kodi kwenye mambo ya hovyo kabisa
 
Cjawah kuona uongoz mzur kama huu wa sasa wa awamu hii ya tano na awamu ya kwanza upo Tanzania ya elimu bure , Tanzania ya viwanda mungu atupe ñn magunia ya chawa au binadamu ifike wakat tulizike na tuwe na moyo wa shukuran kwa kwa kiongoz aliyepo na carbinet yake kwa ujumla
 
Back
Top Bottom