Mkuu uwe makini sana na vitu unavyovizungumza hapa,unasema madini siyo big deal? serious?
Nimegundua kitu hapa baada ya maongezi haya kati yangu mimi na wewe kwamba tupo Watanzania wa tofauti tofauti sana.Ndiyo maana tunaitwa shithole akili zetu tulio wengi zipo kiuoni.
Asante mkuu one day yes anyway, tutapata maendeleo na hivi vitu, ngoja kwanza sasa hivi waibe ibe kwanza then wakishiba watatuachia tununue hata vi laptop tuwawekee vijana wetu kule Montukupole shule ya msingi tufute ujinga angalau.
Vipi mkuu lini unaenda kusaka mishe huko kwa Marehemu colonel Muamari Ghadafi Libya, jamaa wako poa sana wale,ha ha ha!!
Kwahiyo unahusisha suala la u-shithole na mimi kusema madini sio big deal, which means, am a shithole!!!
I'll hold my tongue back lakini siwezi kukulaumu manake wewe ni miongoni mwa mamilioni wenye mawazo kama yako!! Ni wale ambao huwa mnaangalia upande mmoja tu wa shilingi... thamani, and in fact, bei ya madini na sio abundance yake na multiplier effect iliyopo kwenye sekta ya madini!
Mchumi hawezi kuangalia bei peke yake bali ataangalia "abandunce" itakayo-determine value of sales and thus revenues na multiplier effect ya sekta husika!!
Narudia... siwezi kukulaumu na katu sitathubutu kusema ndo maana tunaitwa shithole simply because hufahamu hilo suala manake, am hata nikikuuliza nitajie nchi moja iiyotajirika kwa madini, sidhani kama unaweza kuitaja!!!
Leo hii nikikuuliza Australia, one of the world's largest gold producer wanazalisha tani ngapi za madini kwa mwaka na wanaingiza kiasi gani; am sure huwezi kutaja labda kwa msaada wa Google kwa sababu hii sekta huifahamu na wengi hawaifahamu na wanaishia tu kuangalia thamani labda ya kg moja ya dhahabu ni kiasi gani bila kuangalia how much the country can produce!
Narudia... siwezi kukulaumu! Labda tu nikupe assignment moja! Kwenye assignment hii, sitataja shithole countries bali nitataja nchi kama US.
US ni among top gold producers duniani... ipo kwenye top 5! Migodi mikubwa kuliko yote kwa North America ipo USA hususani jimbo la Nevada. Chukua mfano wa Goldstrike unaomilikiwa na Barrick Gold na Carlin Trend unaomilikiwa na Newmont.
Fanya assignment for your own understanding ili ufahamu, hiyo migodi miwili ambayo ni largest gold mines in North America na pia ni among largest gold mine duniani wanazalisha tani ngapi kwa mwaka kisha fanya mahesabu hiyo migodi miwili mikubwa kabisa North America wanaingiza dollar "trillion" ngapi unless kama unaamini Wamarekani nao wanaibiwa!
Kwa kukusaidia, 1kg of gold from gold ni wastani wa TZS 40M - 45M.
Ukipata jibu, vuta taswira ya kuangalia nini unaweza kuwa uwezo wa migodi yetu ambayo, very unfortunately, kwavile perception yenu kubwa ni kwamba dhahabu ni utajiri kochokocho, I doubt kama una haja ya kuambiwa uwezo wa migodi yetu! Lakini pamoja na yote hayo, sitaacha kukushangaa ukiamini Tanzania tunazalisha dhahabu nyingi kuliko hata Afrika Kusini!!!!
Na hapa ukitumia uwezo wako wa kufikiri sawa sawa utafahamu ni kwanini nimekuambia madini, especially gold not a such big deal at country economic level!