Dabaga1998
JF-Expert Member
- Apr 10, 2016
- 994
- 502
UFISADI NDIO UNATUKELA MBONA KITU KINAELEWEKA. MIMI KAMA MTANZANIA NAUPING UFISADI WA AINA YOYOTE ILE UWE UMEFANYWA NA MKRISTO AU MUISLAMU.Kikubwa hapo ni chuki na fitina za kitoto juu ya Dk DAU mie nataka mtuweke wazi ndugu zetu wa upande wa pili Dk DAU amewakela nn au mna mdai nn maana kila yy tu
Duh kweli Kikwete aliigeuza nchi hii shamba la bibi. Jamaa aliingia NSSF hajiwezi hata kumalizia nyumba yake ya kuishi halafu anatoka anamiliki timu ya Newcastle United na Mike Ashley!!!!! (Kama ni kweli)
Basi nchi imetafunwa kwa kiwango Kikubwa, kama tuhuma hizi ni za kweli kumpeleka mahakamani peke yake na kumfunga haitoshi, inatakiwa afilisiwe na waana wa Tanganyika warudishiwe mali zao. Zile Derm Tower hata zikiwa Hostel za wanafunzi wa IFM itasaidia kurudisha machungu. Na ile ya pale opposite na Mlimani City Derm Tower tuigeuze hostel ya Ardhi University
Naomba sna tutumie Akili sie wote watu wazima hapa nafikiri na Nina hakika saizi mafisadi wote wapo mahakani akiwepo yule kamishina wetu mstaafu ss Dk DAU ndio kwanza kapewa ubarozi ina maana mtu safi tofauti na yule mama yetu ameambiwa htapagiwa kazi nyingine kifupi ndio imetoka kuna yule katibu kiongozi htapagiwa kazi nyingine kuna ndugu moja alikuwa mkurungezi as TPA nae cjui htapagiwa kazi pale TRH mzee has yupo mahakani vp kwa Dk DAU amepangiwa ubarozi ina maana mamlakaraka imejilizisha ni mtu safi as nyie na Roho zenu.UFISADI NDIO UNATUKELA MBONA KITU KINAELEWEKA. MIMI KAMA MTANZANIA NAUPING UFISADI WA AINA YOYOTE ILE UWE UMEFANYA NA MKRISTO AU MUISLAMU.
Hilo neno... ukijumlisha na Ile ya Lugumi, naanza kukosa imani na mtumbuaji...Hapa ndiyo tutajua kama mzee wa majipu yupo serious au anafanya usanii, kama atamuacha huyu jamaa nitajua ni usanii
Ruksa kuwa tajiri, hila si kwa kuwaibia watanzania-masikini.Kwani haturuhusiwi kuwa matajiri?
Huna hoja.kwani mtu kuwa tajiri ni dhambi?
nashangaa kuna watu watamnanga dr dau kuwa tajiri wakisema kuwa alikuwa mtumishi wa umma so hakupaswa kuwa tajiri and the funny thing kuwa watu hao hao miezi mitano iliyopita walitaka kumwingiza madarakani RAIS ambaye utajiri wake ulikuwa una mashaka walikuwa hawahoji jamaa kapataje utajiri
Balozi anayesubiri kupangiwa kazi nyingineHivi Dr. Dau sialiteuliwa kuwa balozi vile!!, hivi yuko nchi gani vile?
Aisee! Huyu mjahidina hatari sana
Kwa sasa Dubai wanaendelea kuwekeza miradi mikubwa sana ya ujenzi wa majumba makubwa ya makazi, biashara, hotel nk.Duh Hili Daraja la Dau kufunguliwa limewaletea shida kubwa sana wasiompenda Dr.
Eti mmiliki wa New castle, Sasa anafanya nini uchwarani, si angeenda zake akale samaki kwa ice cream
Hivi wewe ni binadamu!Kwani haturuhusiwi kuwa matajiri?
Ahmed dauMkuu huyo mwanawe alikua anaitwa Rajab nini? Maana kuna mmoja tulisoma nae Tosamaganga alikua na mashauzi sana. Alikua na jezi ya Man U namba 7 nyuma kaiandika DAU. Kumbuka namba 7 alkua anavaa Beckham na ilikua jezi ghali sana, alisema kaiprint huko huko England.
Unataka ushaidi gani? Omba mungu atuweke hai uone siku moja wana pinguHebu tupatieni ushahidi wa maandishi kwamba jk au dau ni mmoja ya wawekezaji,mbona mnatupa matango pori bila evidence?