Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Nilisomaga na mtoto wake pale Mzizima miaka ya 2003, alikuwa anaipenda kweli timu ya Newcastle kiasi ikabidi aende uingereza kuishabikia vizuri, sasa ndio nimeelewa
Mkuu huyo mwanawe alikua anaitwa Rajab nini? Maana kuna mmoja tulisoma nae Tosamaganga alikua na mashauzi sana. Alikua na jezi ya Man U namba 7 nyuma kaiandika DAU. Kumbuka namba 7 alkua anavaa Beckham na ilikua jezi ghali sana, alisema kaiprint huko huko England.
 
Katafuna mafao ya walala hoi huku serikali inamchekea.
 
Dah.. yaani mnataka kuniambia wenye akili hakuna tena bongo?
 
Huyo unayemwongelea hakuwa Fisadi,kwasababu alisema kama kuna ushahidi wa ufisadi wake apelekwe mahakamani. Hakuna aliyefanya hivyo.

Amekuwa akisingiziwa tu.
 
Duh,...sasa inakuaje! kama kweli ni wazi katumia madaraka kukwapua. yafaa kila jipu bila kujali ukubwa kutumbuliwa.
 
Duh Hili Daraja la Dau kufunguliwa limewaletea shida kubwa sana wasiompenda Dr.

Eti mmiliki wa New castle, Sasa anafanya nini uchwarani, si angeenda zake akale samaki kwa ice cream
hata awe tajiri kiasi gani samaki atamla kwa meno mkuu.
 
Je hizi habari ni za kweli na uhakika?

Hili gazeti huwa linaaminika? Tukishapata majibu ya hayo ndipo tutakuwa na haki ya kutoa mawazo,ushauri na maoni yetu.
 
dogo Mike Ashley anamiliki asilimia mia moja ya hisa za newcastle tuache kufikiria kwa kutumia mdomo
Hata mimi sijaamini kama Dr Dau anamiliki hisa Newcastle ila nilikuwa nambishia aliyesema eti kwa billion 100 huwezi kununua timu uingereza.
 
Je hizi habari ni za kweli na uhakika?

Hili gazeti huwa linaaminika? Tukishapata majibu ya hayo ndipo tutakuwa na haki ya kutoa mawazo,ushauri na maoni yetu.
Usiwe na mashaka na ufisadi Wa dau kwani mimi Nina ushahidi Wa hilo sema sehemu ya pesa alizopiga zilitumika kusaidia chama, ccm
 
Usiwe na mashaka na ufisadi Wa dau kwani mimi Nina ushahidi Wa hilo sema sehemu ya pesa alizopiga zilitumika kusaidia chama, ccm
Sasa mkuu ili kuondoa mashaka kwa wachangiaji na hali ya kuhisihisi si uweke tu huo ushahidi hapa?
 
Huyo unayemwongelea hakuwa Fisadi,kwasababu alisema kama kuna ushahidi wa ufisadi wake apelekwe mahakamani. Hakuna aliyefanya hivyo.

Amekuwa akisingiziwa tu.
Atapelekwa dawa yake iko jikoni inachemka. It is impossible for an honest man to accumulate such a massive wealth while working within the government of Tanzania. I smell UFISADI you like or not. His hands might not be clean believe me. It is just an honest truth.
 
Nawashangaa watu wanaoidharau 100 billion. Hawajui kuwa ni sawa na 50 million dollars na inaweza kununua share zaidi ya 10 % za New Castle!!
 
DINI TUACHE PEMPENI KAMA NI MUISLAMU AU MKRISTO HIYO HAIJALISHI, ILA TU KAMA NI FISADI ITABIDI JIPU HILI LITUMBULIWE AU LIME KAA MAHALI PABAYA.
 
Jamani tutakuwa wajinga mpaka lini information za umiliki wa Newcastle zipo online na 100% inamilikiwa na Ashley na hivi sasa hiyo club haiwi traded kwenye stock exchange yeyote sasa sijui utanunua hiza zake wapi...
Sikujua hilo na nilidhani they are traded as some companies do. So sorry I need to do a research before I make a comment about a subject. Lakini unadhani yeye ni FISADI au la?
 
Kikubwa hapo ni chuki na fitina za kitoto juu ya Dk DAU mie nataka mtuweke wazi ndugu zetu wa upande wa pili Dk DAU amewakela nn au mna mdai nn maana kila yy tu
 
Hatukatazwi kuwa matajiri.
Kama ameupata kihalali bila kuibia umma safiiii!!!!
Kama kapora hapanaaaaa!!!!, hairusiwiii
 
Na yule mkuu wa ESCROW wa billion 73 atapelekwa pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…