Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,746
Hujui unachoongea kaka bora unyamaze.. timu ya leicester ilinunuliwa kwa pound million 56 ambayo haipo mbali na hiyo billion 100 inayosemwa. Na ukumbuke kama ni umiliki wa New castle sio lazima anunue club nzima bali unaweza kuta ni hisa asilimia kadhaa labda hata 5 ambazo bado hata hazifiki hiyo billion 100.Kuna wakati mwingine kuna magazeti yapo kwasababu ya kuchafua wengine. Hivi Una bilioni mia moja unaweza kuwa mmiliki wa Timu Inayoshiriki EPL? Hiyo pesa utaweza kununua wachezaji kama Yohane cabaye au CHEIKH TIOTE ambao wote thamani Zao ni Zaidi Pesa hizo? kwa
Hizo ni inferiority complex zako, wanaodai kila siku kuna mfumo kristu, Kuna upendeleo baraza la mitihani, nafasi za uongozi zinatolewa kwa upendeleo unawajua, angalia idadi ya viongozi kwa maana ya wabunge, mawaziri, ma RC na mamlaka DC utajua wengi ni wepi, lakini cha kujiuliza ni kwa nini wako wengi huko? Mifumo sahihi ya elimu, muulize mzee Mohammed Said kasomea wapi?
Chuki mnatengeneza za kufikirika, hakuna anayewachukia waislam wasingesoma na wakaruhusiwa shule za mission, mhalifu ni mhalifu tu hana dini bwana. Akina Lowassa, Tibaijuka, Chenge na wengineo wametuhumiwa kwa rushwa, ufisadi na ubadhirifu umewahi kuwaona wenye imani moja na wao wakitokwa mapovu kuwatetea?
Kama umesoma basi huitendei haki elimu yakoyako Kuna zaidi ya dini katika maisha tunayoishi tukichangamana jamii zenye imani tofauti
Unaweka mshangao rahisi sana?Billion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!
Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100 Bilioni.
- Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.
- Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.
Chanzo: Dira ya Mtanzania - 18 Aprili 2016
Billion mia sawa na paund million 50...Billion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!
Mimi nina mashaka na ukweli wa hii taarifa kutokana na haya madai kuwa "Kampuni yake pekee ndiyo inapewa tenda ya miradi ya NSSF".
Hivi hata daraja la Kigamboni lilijengwa na kampuni ya Dau?!
Wanataka kulazimisha hata hapa jf tuwe na akili za kushikiwaKwanza hii habari imeandikwa na Dira, je JF inakujaje hapo? Umeziona akili za madrasat?
Tufahamishe basi hizo hisa ngapi anamiliki.Soma uelewe nilichoandika, sijasema Dr. Dau ni ownership wa Newcastle, huu ndo upuuzi gani umeandika?? Dr. Dau ni ownership???
Anyway, Kama ni habari za kweli ana hisa kadhaa basi na yeye ni mmoja wa wamiliki.
Billion mia sawa na paund million 50...
Newcastle kwa mujibu wa Mike Ashley INA thaman ya paund million 100-150
Dr.Dau ni share holder wa Newcastle utd , hivo hata akiwa na paund million 40 , au billion 80 , anauwezo wa kuinunua Newcastle utd
Hapa ndiyo tutajua kama mzee wa majipu yupo serious au anafanya usanii, kama atamuacha huyu jamaa nitajua ni usanii
Tufahamishe basi hizo hisa ngapi anamiliki.
Halafu unajua mwanahisa na mmiliki tofauti yao?
Unaweka mshangao rahisi sana?
Kumiliki maanake ni shareholder kwa kumiliki hisa,sio kwamba kwa Bil 100 anamiliki timu yeye kama yeye.Hizo hizo alizonazo ndo zinampa percentage of ownership
Refer "kuongea kama mmeachika na waume zenu" hapo ndipo zipo tofauti ya mentality, ukiona mtu anayejitanabaisha kwa imani, halafu mdomoni mwake zinatolewa kauli kama hizi inakuwa vigumu kumshawishi mwenye akili timamu aambatane na mtoaji kauli hizi.Sasa iweje mumchafue Dr Dau kwa habr za uongo na ushambenga usio na ushahid wala facts kisa mkategemea watu wengine wakae kimyaa wasihoji?
Kama hao jamaa zenu kina chengeee tibaijukaa na kadhalika ni kweli mafisadi sababu kuna ushahid uso na shaka kuwa pesa kias flan kimeingia had kwenye accounts zao...na ushahid mwingine lukukii...
Sasa wewe nikikuambia ulee ushahid katika hiz propaganda zenu mnazozifanya magazetin na mitandaon kuhusu Dr Dau utanipatia?
Au mmezoe kuongea kama mmeachika na waume zenuu
Mkuu kama unazijua hisa za Dr.Dau si uziweke siyo kuja na maneno matupu.
Kuna mengine hata huyo Kikwete kaongea uongo, alituambia escrow haijui, akajasema escrow sio pesa za uma, mwisho akasema waliotuibia kwenye ishu ya escrow wakae pembeni. Nae ni muongo hata kama hana kiwanda ana duka tu.
...hata kama wanasema magazeti ya kibongo yana uzushi lakini siwezi kumtetea huyu jamaa.....maana najiuliza kwanini yeye tu asemwe??...na tulivyozea bongo yanaposemwa mambo ya kifisadi mwanzoni hupingwa sana na wahusika...lakini mwishoni huja kuwa kweli...na wao wahusika huumbuka sana.....At least scandal karibu zote kubwa TZ huanza hivi....rejea hata ile ya mwisho ya escrow iliyopingwa hata bungeni na baadhi ya wabunge...lakini mwishoni watu wakaumbuka na mawaziri kutemwa...
...that said....nasema...huyu dr ana mengi ya kujibu....kwanini hawasemwi hivyo kina Erio(wa PPF) na ma boss wa mifuko mingine ya kijamii?....
Siupendi uongo ndio maana nimekugusia uongo wa mtu uane amini hamiliki uongo.Naona yamekugusa, ni mmiliki wa kiwanda cha uongo? Au unahisa chache tu?
Naona yamekugusa, ni mmiliki wa kiwanda cha uongo? Au unahisa chache tu?
Wewe nadhani unajifurahisha, kuna wakati unaweza kudhani wenzako hawana akili au hawatumii akili, kumbe ni wewe ndiye mwenye hayo matatizo. Unatakiwa kujibu kwa hoja, maneno mengine hayana maana yoyote maana ukimwambia mwenye akili kuwa hana akili hatageuka kuwa hana akili wala akili zake haziwezi kuhamia kwako, kama huna.
Timu ya Newcastle united ilikuwa public company kuanzia 1997. Ashley alianza kununua hisa kuanzia 2007. Kwa hiyo kabla ya 2007, unawajua wamiliki wake? Na una uhakika Dau hakununua shares kwenye hiyo kampuni wakati haijanunuliwa? Ujue kampuni hii ilipokuwa listed tu, hisa zake zilukwa oversubcribed, watu waliona kuwa ingetengeza faida kwa muda mfupi.
Soma hapa chini:
Newcastle United came to the stock market in 1997, giving thousands of supporters the chance to buy a real stake in their much-loved North East club. The share issue was hugely oversubscribed, which meant many people did not get what they hoped for.
It was in June 2007 that billionaire Mike Ashley took control when he acquired the 28% shareholding owned by club chairman Freddy Shepherd. This led to a formal takeover offer of 101p a share to all shareholders.
Shortly before the club cancelled its listing on the London Stock Exchange in July 2007, Ashley announced he owned 94%.