Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Ya lowassa yaliletwa na chadema pale mwembeyanga, muulize Mbowe na tundu lissu watakwambia.
Alieyaleta ni Mwakyembe na akasema ushahidi anao, mwembe yanga ilikuwa ni kuwaambia wananchi yanayojiri ndani ya ccm.
 


Wewe kiboko, umeniongezea siku za kuishi
 
Mwenye nacho ataendelea kuogezewa na asie nacho kabisa huendelea kupokonywa
 
Dau ana daraja?
Punguani huyo alikuwa anamsifia na kumtetea Kikwete kwa sababu ya imani yake. Sasa hivi utendaji kazi wake unavyoachwa uchi kakosa la kusema kakimbilia kumtetea muumini mwenzake
 
nchi haiendeshwi kwa magazeti ya udaku
Udaku sababu kasemwa muumini? Lilipoandika habari za Ombeni Sefue mbona povu halikuwatoka au kwa sababu siyo muumini? Mtake msitake jizi ni jizi tu, awe mkristu awe muislamu. Tumieni akili kidogo mbona wale wenzenu alipotajwa Lowassa kuwa fisadi hawakumtetea kwa sababu ni muumini mwenzao? Hapo ndipo kwenye tofauti mnapopigwa bao
 
Kwa hiyo Dr.Dau ni ownership wa Newcastle?
Wewe Si ndo mutoto ya naniliu, endelea Kula mema ya dunia ndugu yangu hakuna shida, acha sisi tuteseke mwanzo mwisho
 
Unajua niliskia skia kuwa hata Mh Lowasa na Mh Mbowe nao ni washabiki wakubwa sana wa Newcastle...!hebu tuunganishe Dots unajua kunawezakana kuna kamchezo tunachezewa hapaa...

Teh teh teh...

Mkuu inawezekana wote ni maufisadi ndo maana wanaandamwa sana sasa ni zamu ya dau ambaye ni mtumishi kwa miaka 15 tu ni bilioni na hali ndo hivyo
 
Na wala sita shangaa hata kidogo,na zipo tetesi nasema ni tetesi kuwa ana makazi yake huko UK na familia yake muda mwingi iko huko,na kwa misafara isiyo isha ya kwenda huko kuna mwelekeo wa ukweli ktk jambo moja wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…