Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Hahaaa, vyombo vya Habari wameshajua mnapenda haya makitu, basi na wao wanawauzia tu.
 
Mbona akiguswa Dau watu wananyanyuka hapa kumtetea kwa kasi ya ajabu. Tatizo ni nini ?
 
Whaaaat?
 
And yet you hold a tool on your hands which could have helped you to verify the facts for yourself; kaazi kweli kweli.
 
Wewe punguani kweli unabisha mmiliki wa Newcastle siyo Mike Ashley?

Hamna watu wajinga wakuwashikia akili kama watanzania angalia mtu kama huyu kila siku uwa anajifanya mjuaji anaambiwa Dr.Dau ndiyo mmiliki wa Newcastle na yeye anakibali tu.

Teh teh teh !!
 
owner wa newcastle kwa 100% ni Michael James Wallace "Mike" Ashley.
 
huwa nashangaa hii chuki yako inatoka wapi?

mkuu kama ulikuwa nyumba ndogo ya DK sema usaidiwe povu halikusaidii
Nina chuki na majizi yote yanayofirisi nchi ukianza na Chengee, Mkwele na mwanae, Rosti tamu rahaziz, Richmond, Limkono, Singasinga, Escrow and likes.

Shida yenu nyinyi wala ubwabwa mtu akishawanunulia mikeka ya msikitini basi mnadhani ni malaika hata awe na tuhuma gani mnaona anaonewa.

Hivi wewe kiazi umeshaona humu kuna mkristo anayeyatetea majizi Mramba na Yona? Kwa nini msimuache Dau anywe kikombe chake?
Mphweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew.
 
Wee Mmakonde, Dau ana hisa hata ikiwa moja na si kwamba anamiliki kwa 100%!!!
 
Wewe kiazi hata ukiwa na hisa 1% wewe ni sehemu ya wamiliki, mnapoambiwa mwende shule hamuelewi mnakimbilia madrasat sasa haya mambo utayaelewa kwa kusoma ile miherufi ya kutoka kulia kwenda kushoto?
ungewajua wenye hisa katika club hiyo nadhani usingejivua nguo hapa.. lakini nilichogundua ni kwamba ulikuwa nyumba ndogo ya Dk ndio maana unajivua nguo Hadharani. jitafutie vya kwako ili siku nyingine ukiachwa usitafute pakutokea
 
Wee Mmakonde, Dau ana hisa hata ikiwa moja na si kwamba anamiliki kwa 100%!!!

Mmeanza kubadilika! Ikifika kesho asubuhi mtasema ni Newcastle ya Mafia au Tandale kwa Mtogole!
 
Nyamaza wewe mammalia wanaume wamchambue huyo mfadhili wenu wa madrassa

Hivyo huyu jamaa umachukia hivi kakuchukulia ur beautiful mom nin?

Hebu tuambiane ukweli...utakua unachanganya mambo wewe bint siyo bure..

Wewe mtafute anaekuharibia lkn siyo huyo...

Huyo ni Ustadh Madhubuti na mchamungu nadhan ur mom kuna mwingine anarekebisha siyo huyo...

We tuliza akili tuh utamjua na ukimjua ruksa kuhamishia hizo hasira zako..sawa bint?
 
Kwani haturuhusiwi kuwa matajiri?
Tunaruhusiwa!! namshangaa mtoa mada ameishia juu juu tu, Utajiri wa B100 ni wa kawaida sana hata hafikii robo ya utajiri wa Mengi , tumuombee Dau Mungu amsaidie apate zaidi kama kaupata kihalali lakini
 
Duh mtamuua mzee wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…