Walitingishaje,.let us share this important news. Maana watu wamefurahi huyu mtu kufaBaada ya ya kuwapoteza vijana wawili wenye ukwasi wa kupindukia.
Ginimbi na Chivayo je nani tunategemea kumsikia akitingisha Zimbabwe na nchi za Africa ???
Alilazimisha Umaarufu Wa Haraka Haraka Hata Vyanzo Ya Pesa Zako Haviko WaziHivi Chivayo aliwazidi akina Dangote kwa utajiri?
Au ilikuwa tu makeke yake ya kuingia kwenye ikulu nyingi za Afrika?
Hivi jamaa alikuwa kawekeza kwenye nini au alikuwa anafanya biashara gani?Hivi Chivayo aliwazidi akina Dangote kwa utajiri?
Au ilikuwa tu makeke yake ya kuingia kwenye ikulu nyingi za Afrika?
Kelele kama za mond tu hamna lolote wenye pesa zao na biashara zao halali hawapigi keleleHivi Chivayo aliwazidi akina Dangote kwa utajiri?
Au ilikuwa tu makeke yake ya kuingia kwenye ikulu nyingi za Afrika?
Huyo ni tapeli.Hivi jamaa alikuwa kawekeza kwenye nini au alikuwa anafanya biashara gani?
Hata sijui mkuu!Hivi jamaa alikuwa kawekeza kwenye nini au alikuwa anafanya biashara gani?