Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

Hiyo ni kwa mujibu wa exposure yako. You talk what you know and not otherwise. The thing is, there is a lot you don't know.
 
Ni kweli kabisa tena matajiri ni wabinafsi mno, kuna sehemu nlisoma Beyonce alitengeneza design yake ya nguo ambayo aliuza bei ghali mno lakini wanawake waliokua wanamfanyia kazi hyo walikua wanalipwa chini ya dollar moja kwa saa lakini alijigamba kwamba lengo lake ni kumuinua mwanamke wa chini
Philosophy ya utajiri ni kuwekeza kidogo na kupata kingi, sometimes cha kufuru... Cheap labor n the like....!
 
Fanya kazi ndugu kwa nguvu zote,ukiwa na imani hiyo utakufa kama ulivyozaliwa na jehenam itakuhusu!
Ukishavipata vyote hivyo then itakusaidia nini? Tulizaliwa uchi na tutarudi uchi mkuu au hili hulijui na vyote ulivyohangaikia kuvipata tena kwa haramu hubebi hata kimoja!!
Fanya kazi halali na jaribu kuishi utakatifu kuanzia hapa ili hata huko akhera ukauendeleze utakatifu
 
Kiufupi utajir wa halali kabisa ni kama haupo...kila moja ana siri yake moyoni....labda wale matajir wa kuajiriwa....harakati za mtaani zina mauza uza mengi sana
.
Utajiri wa kihalali upo mkuu sema ni wachache mnoo wenye nao.

.
Mungu anasema utajiri na heshima viko kwangu naam na UTAJIRI UDUMUO na haki pia.

.
Wengi wanaojipatia utajiri kwa njia zisizo za halali, utajiri wao haudumu na hawawezi kuwarithisha watoto wao.
 
daaaa sijawahi fikiri watu wana mtazamo hasi dhidi ya utajir kwa kiasi hiki

Achen Majungu tafuten pesa muwe mabilionea sio kujifarij kihivyo
 
Zama hizi utajiri Wa halali utausikia kwenye Vitabu vya mungu hao wema waliopata....otherwise saaa ivii ni mwendo wa ndumba ndumbana.
 
Zama hizi utajiri Wa halali utausikia kwenye Vitabu vya mungu hao wema waliopata....otherwise saaa ivii ni mwendo wa ndumba ndumbana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji115][emoji23][emoji817][emoji817][emoji91]
 
Hoja yako unataka aminisha jamii kuwa umaskin ni sehemu ya utakatifu,,na mtu kuwa na Mali ni dhambi kwa mtazamo wako duni kwamba Mali au utajiri lazma udhulumu,uibe,unyonye watu nk..
Sio kweli sabb kuna utajiri unaopatikana kwa haki na unaopatikana nje ya haki..pande zote mbili kuna mchakato wake!!

Usitake kuturudisha kwenye wokovu wa kimaskini kama wa enzi zileeeee...afu mnageuka na kutucheka eti mbona wanasema Mungu wao tajiri wakat wao maskini..

Fedha na dhahabu ni Mali ya Bwana..mithali...
Fedha kama asemavyo mkuu mshana ni mtihani wengi wana Mambo ya ajabu hassa katika hii jamii inayooongozwa na mifumoya kikapitlist na hassa socialist ni lazima. Uwe mnafiki ili kuhakikisha u afanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu jamaa inawezekana haufahamu utajiri ndio maana anapiga kelele. anafikiri kuwa na vigari viwili kimoja chake kingine cha mkewe na kajumba kake kakujisitiri tayari yeye ni tajiri. kaka kama unajielewa usijaribu kuuomba utajiri sio mzuri ata kidogo.kwanza ukishakuwa tajiri unaanza kuwa mtumwa Wa Mali bila wewe kujua. na shida inaanza katika kuulinda huo utajiri usiishe hapo utaanza kuwatafuta Waganga. utajiunga katika Makundi yakudhulumu .utataka kuwa ata Mwanasiasa ili upige madili makubwa na kuongeza utajiri wako.bila kusahau watakaokuwa kikwazo kwenye Mipango yako husiti kuwafyekelea mbali ili kulinda utajiri wako.yapo mengi lkn mpk hapo labda utaelewa kidogo.ila jingine ni kwamba kila binadamu anautamani utajiri !!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajili ni tamaa

[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom