Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,808
- 870,682
- Thread starter
- #221
[emoji120][emoji120][emoji120]Mada nzuri sana kaka, kwa kimombo kidogo japo kilikuja na jahazi “a road to success has never been an easy one” hata kupanda cheo au kutumikia nyumba za ibada kuna visanga vingi sanaa.
Kwenda mbinguni pia yale yale sio kazi rahisi, basi hata kua tajiri pia sio kazi rahisi.