Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

Explanation nayo ijua ya huo msemo wa ngamia ni rahisi kupita kwenye tundu la sindano uliko tajiri kuingia kwenye ufalme wa mbinguni ni kwamba mtu mmoja uwezi kuwatumikia mabwana wawili either utambatana huyu na kumwacha huyo.. Pia hapa alimaanisha Tajiri hawezi kushikana na mali pamoja na mungu ivyo atashika kimoja kati ya mungu au mali na mara nyingi matajiri wanashikana na mali kuliko mungu ivyo inapelekea kwenda motoni
Ikiwa utajiri ni tiketi ya kwenda motoni nategemea mfalme selemani atakua akiongoza kwa maana alikua akimiliki karibia nusu ya mali ya dunia
Cha msingi ni kutenda yalio mema na ya kumcha mungu ili siku ya mwisho twende kwake mbinguni
Tuwe matajiri kihalali zio mali za zuluma, tutende yaliyo mema, tushike amri zake TUTAKUTANA MBIGUNI HATA KAMA DUNIANI TULIKUA MATAJIRI
Ngamia ni uzi uliosokotwa upo kwenye fundo kubwa hasa kwenye mavazi ya viongozi wa dini!
 
Ni wachache watakuelewa mshana jr. Sisi matajiri tunakabiiana na mambo mengi sana ambayo kuyashinda ni lazima uende kinyume na imani ya dini.

Wakuu namaanisha sisi matajiri wa umasikini...
 
Ni wachache watakuelewa mshana jr. Sisi matajiri tunakabiiana na mambo mengi sana ambayo kuyashinda ni lazima uende kinyume na imani ya dini.

Wakuu namaanisha sisi matajiri wa umasikini...
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikubaliani na mleta mada kwa 100% kwa 100%. Kwa kifupi kwa matajiri wa kijitengezeza ina weza kuwa kweli kwana inabidi upambane kwelikweli kwenye hiyo shortcut ya kwenda Kaanani, ila kwa matajiri wa kurithi unaweza wapata wasio wezi na wanyang'anyi. Fikiria yuke binti wa Steve Job au Bill Gate(siku akifa)
 
Hakuna mkamilifu chini ya jua, unaweza ukawa sio tajiri ila ukawa mwovu. Kwani matajiri pekee ndio waovu? Dhambi yako inaweza kuwa tofauti na mwingine but wote ni wadhambi. Tuache kuona matajiri ni watu wadhambi Halafu wasio matajiri ni watu clean .
 
Mfano rais wa nchi ka mshahara wake tu hawezi kuwa ni tajiri? Ni maskini huyu??

Mfano mtu anafanya kazi UN kwa mshahara tu si tajiri huyu??

Tajiri ni nani??
 
Mfano rais wa nchi ka mshahara wake tu hawezi kuwa ni tajiri? Ni maskini huyu??

Mfano mtu anafanya kazi UN kwa mshahara tu si tajiri huyu??

Tajiri ni nani??
Mpaka uwe rais unafkiri ni kazi ndogo?
 
Kuna watu wametoa version ya kiingereza ikitaja camel lakini bado sioni uhalisia
Je huyu ngamia aliyetajwa hapa kama sio mnyama maandiko yalimaanisha ngamia yupi au ni kiumbe kipi au ni kitu gani chenye kusimama badala ya neno ngamia? hebu naomba mtueleze na wengine tujuwe, natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kuna matajiri hawamjui mganga wala ushirikina..pili kodi ni unyonyaji uliokubuhu mtu unalipa katwa kodi karibia kila mahali kwa bidhaa moja tu hivyo kukwepa kodi sioni kama ni dhambi.Kodi zinalipwa ila sio kwa asilimia mia sababu inaumiza

Watu wana hustle kitaa bila ya ushirikina wala kumuibia mtu ..utajiri wa halali upo na wapo kibao tu sema lazima uwe tough
Kukwepa kodi huoni kama ni dhambi? Kodi ni kodi tu haijalishi ni ya haki au vinginevyo unapaswa kuheshimu mamlaka ilioweka hiyo kodi kwa kuilipa bila kuleta ujanja ujanja.
Naweza kukubaliana na mtoa mada, kuutafuta sana utajiri wa mali na vitu vya kidunia ni kujipalilia kuingia gizani
 
Sikubaliani na mleta mada kwa 100% kwa 100%. Kwa kifupi kwa matajiri wa kijitengezeza ina weza kuwa kweli kwana inabidi upambane kwelikweli kwenye hiyo shortcut ya kwenda Kaanani, ila kwa matajiri wa kurithi unaweza wapata wasio wezi na wanyang'anyi. Fikiria yuke binti wa Steve Job au Bill Gate(siku akifa)
Kuna kitu nimejaribu kufafanua sana lakini naona wengi huwa hamsomi comments....
Nimesema hivi kupata utajiri hata kama ni kwa njia 'halali' ni jambo moja lakini kuulinda na kuustawisha huo utajiri ni jambo lingine..
Unaweza kuupata 'utajiri wa halali' lakini kuulinda ikawa ndio hivyo tena... BTW haimaanishi kurithi utajiri kunaondoa uharamu wake...
 
Hakuna mkamilifu chini ya jua, unaweza ukawa sio tajiri ila ukawa mwovu. Kwani matajiri pekee ndio waovu? Dhambi yako inaweza kuwa tofauti na mwingine but wote ni wadhambi. Tuache kuona matajiri ni watu wadhambi Halafu wasio matajiri ni watu clean .
Sidhani kama mleta mada alisema eti mtu maskini ni msafi, alichoongelea ni ishu ya utajiri
 
Back
Top Bottom