Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

Mkuu agiza na Jibapa kabisa. Unasikia maneno ya kina Chris Mauki kuwa jibane, tunza akiba utakua tajiri, aanakubania na pua, **** off....

Utajiri wowote ni haramu. Either kuua, kudhulumu au kuiba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]naomba niongeze na eagle moja na balimi 2 tasavali
 
Heeee !!!!!! hakuna lana wewe katika mali alioweka mungu aridhini Kwa matumizi yawanaadamu, halafu hapo unajikanganya(contradict) matumizi bora na ya mwenye busara huzalisha au kununua kufuatana na mahitaji huo ndio uadilifu unacholaumu nini? Unataka wafanye israfu?
Usiwe na haraka ngoja nitakuletea full version iliyoko kwenye maliasili kama madini na mafuta
 
Katika kumaintain status huko ndio
jibu ni kwamba hakuna njia halali ya utajiri.alafu mleta mada ameelezea Kwa kirefu lkn watu wamebezi upande mmoja tu Wa ushirikina .wamesahau kuna kudhulumu .kukwepa kodi. wizi.kuuwa kishirikina au kuwauwa wale wote unaoona ni kikwazo kwako katika kufanikisha biashara fulani ambayo itakupa pesa nyingi nao wanaonekana ni kikwazo.
Hilo sio jibu. Ni Imani yako. Halafu masikini ndio mabingwa wa kujua jinsi matajiri walivyotajirika Kwa 'njia zisizo halali'. Wao ndio wasafi kiasi kwamba hawapendi kutajirika
 
jibu ni kwamba hakuna njia halali ya utajiri.alafu mleta mada ameelezea Kwa kirefu lkn watu wamebezi upande mmoja tu Wa ushirikina .wamesahau kuna kudhulumu .kukwepa kodi. wizi.kuuwa kishirikina au kuwauwa wale wote unaoona ni kikwazo kwako katika kufanikisha biashara fulani ambayo itakupa pesa nyingi nao wanaonekana ni kikwazo.
Hilo sio jibu ni Imani yako.
 
Chukua soda kwa Mangi na ujilipie
jibu ni kwamba hakuna njia halali ya utajiri.alafu mleta mada ameelezea Kwa kirefu lkn watu wamebezi upande mmoja tu Wa ushirikina .wamesahau kuna kudhulumu .kukwepa kodi. wizi.kuuwa kishirikina au kuwauwa wale wote unaoona ni kikwazo kwako katika kufanikisha biashara fulani ambayo itakupa pesa nyingi nao wanaonekana ni kikwazo.
 
Mkinijibu kwanini yule aliyeagizwa na Yesu awagawie maskini mali zake zote ili aupate ufalme wa mbinguni pa1 na kushika amri zote za Mungu tangu tumboni mwa Mama yake, rudini hapa hapa mnipe majibu kwanini Yesu alisema ni vigumu sana Tajiri kuuona ufalme wa Mungu.
 
Maneno ya Mungu yanasema hivi.... Ni rahisi kwa ngamia(sio mnyama) kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa Mungu....!
Warithi wa ufalme wa Mungu ni akina nani? Wana sifa na vigezo gani? Ni wanyofu na wasafi wa moyo, watenda haki waliojitenga na dhambi na matendo yote ya giza, wasiodhulumu wala kupora cha mhitaji...
Ili uweze kuwa tajiri ama ili uweze kuupata utajiri kwa kiasi kikubwa itabidi ujitenge na matendo ya unyofu, huruma, utu wema na ushikamane na ulimwengu wa giza, makafara dhuluma na ni lazima uwe na roho ngumu na katili japo kwa kificho....!
Itabidi utafute njia za kupata bidhaa kwa bei rahisi sana halafu uuze kwa faida kubwa
Itabidi uwe mkwepa kodi na mdanganyifu kwenye mapato kwa nia ya kutunisha kibubu chako
Itabidi ununue hata kuuza mali ya wizi, dhuluma ama magendo ili tu usitetereke kiuchumi
Itabidi waajiriwa wako uwalipe kidogo lakini wazalishe kingi
Itabidi ufanye makafara na ushirikina kwa nia ya kulinda utajiri na himaya yako
Itabidi utumie mbinu zote halali na haramu ili kuendelea kukuza na kutunisha akaunti zako na biashara zako..

Ukishafanikiwa kimaisha na kuwa mfanyabiashara tajiri kwa viwango tofauti, kiunafiki kabisa na kuficha makucha yako, utairudia jamii kwa kutoa sadaka, misaada na zaka kwenye nyumba za ibada na majukwaa ya kijamii.. Hutafanya kwa siri kwakuwa unataka usafishike mbele za macho ya jamiii... Lakini kile unachokoa ni sehemu ndogo kabisa kwenye kile ulichowaibia wale unaowapa kwa mlango wa misaada....

Yote juu ya yote tunauhitaji utajiri kwa nguvu zetu zote ili kukidhi mahitaji ya natamanio ya kimwili na starehe za dunia, sifa na utukufu wa kununua.... Lakini asikudanganye mtu hakuna utajiri wa haki hata siku moja
Kuna hadithi moja ya maswahaba (walioachwa kulea ujumbe na mtume) waislamu walipojaribu kuuishi uislamu waligundua dhambi zote zinaa achika isipokuwa riziki haramu ,wakamfata yule swahaba na kumuuliza ''Je yawezekana binadamu kuishi kwa riziki halali tuu?'' Jamaa akaomba afikilie kwanza akajisemea nikiwaambia yawezekana ntamfurahisha mungu ,ntakuwa nimewadanganya wao ,nikisema haiwezekani ntamuuzi mungu nakuwapa amani wao. Akawajibu hivi'' Mimi stojibu swalil enu ,ila ntawatolea mfano muamue wenyewe wa riziki moja halali ,akasema nendeni jangwani (akimaanisha ardhi asiyomiliki mtu) kisha usiwe umepaka mafuta mdomo (akimaanisha mafuta yaweza kuwa hujayapata kihalali) panua mdomo kuelekeza juu na nyoosha ulimi subiri hadi mvua inyeshe ( Jangwani mvua hunyesha baada ya miaka 40 ) ,Kisha lile tone litakalo tua ulimini fumba mdomo meza ,utakuwa umekula riziki halali.
 
Mkinijibu kwanini yule aliyeagizwa na Yesu awagawie maskini mali zake zote ili aupate ufalme wa mbinguni pa1 na kushika amri zote za Mungu tangu tumboni mwa Mama yake LAKINI ALICHEMKA, rudini hapa hapa mnipe majibu kwanini Yesu alisema ni vigumu sana Tajiri kuuona ufalme wa Mungu.
 
Mkinijibu kwanini yule aliyeagizwa na Yesu awagawie maskini mali zake zote ili aupate ufalme wa mbinguni pa1 na kushika amri zote za Mungu tangu tumboni mwa Mama yake, rudini hapa hapa mnipe majibu kwanini Yesu alisema ni vigumu sana Tajiri kuuona ufalme wa Mungu.
Wengine hatupendi Ku offend Imani za watu.
 
Maneno ya Mungu yanasema hivi.... Ni rahisi kwa ngamia(sio mnyama) kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa Mungu....!
Warithi wa ufalme wa Mungu ni akina nani? Wana sifa na vigezo gani? Ni wanyofu na wasafi wa moyo, watenda haki waliojitenga na dhambi na matendo yote ya giza, wasiodhulumu wala kupora cha mhitaji...
Ili uweze kuwa tajiri ama ili uweze kuupata utajiri kwa kiasi kikubwa itabidi ujitenge na matendo ya unyofu, huruma, utu wema na ushikamane na ulimwengu wa giza, makafara dhuluma na ni lazima uwe na roho ngumu na katili japo kwa kificho....!
Itabidi utafute njia za kupata bidhaa kwa bei rahisi sana halafu uuze kwa faida kubwa
Itabidi uwe mkwepa kodi na mdanganyifu kwenye mapato kwa nia ya kutunisha kibubu chako
Itabidi ununue hata kuuza mali ya wizi, dhuluma ama magendo ili tu usitetereke kiuchumi
Itabidi waajiriwa wako uwalipe kidogo lakini wazalishe kingi
Itabidi ufanye makafara na ushirikina kwa nia ya kulinda utajiri na himaya yako
Itabidi utumie mbinu zote halali na haramu ili kuendelea kukuza na kutunisha akaunti zako na biashara zako..

Ukishafanikiwa kimaisha na kuwa mfanyabiashara tajiri kwa viwango tofauti, kiunafiki kabisa na kuficha makucha yako, utairudia jamii kwa kutoa sadaka, misaada na zaka kwenye nyumba za ibada na majukwaa ya kijamii.. Hutafanya kwa siri kwakuwa unataka usafishike mbele za macho ya jamiii... Lakini kile unachokoa ni sehemu ndogo kabisa kwenye kile ulichowaibia wale unaowapa kwa mlango wa misaada....

Yote juu ya yote tunauhitaji utajiri kwa nguvu zetu zote ili kukidhi mahitaji ya natamanio ya kimwili na starehe za dunia, sifa na utukufu wa kununua.... Lakini asikudanganye mtu hakuna utajiri wa haki hata siku moja

Mkuu nakubaliana na wewe asilimia zote. Jaribu alilopitia Yesu la kuonyeshwa milki ya dunia na kuambiwa kusudu inampata kila mwanadamu kwa viwango tofauti. Kuna watu wanajikinga miili yao, kuna watu wanakinga mali zao, kuna watu wanadhulumu,kuna watu wanaiba, kuna watu wanahonga kupata vyeo,kuna watu wanapata upendeleo wa kujuana. Yaani full ushetani.
Luka 4:5-8 "Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja.6Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo.7Basi, wewe ukisujudu mbele yangu yote yatakuwa yako.8Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake
 
Mmmh kwamba hakuna riziki halali? Noti truu
Kuna hadithi moja ya maswahaba (walioachwa kulea ujumbe na mtume) waislamu walipojaribu kuuishi uislamu waligundua dhambi zote zinaa achika isipokuwa riziki haramu ,wakamfata yule swahaba na kumuuliza ''Je yawezekana binadamu kuishi kwa riziki halali tuu?'' Jamaa akaomba afikilie kwanza akajisemea nikiwaambia yawezekana ntamfurahisha mungu ,ntakuwa nimewadanganya wao ,nikisema haiwezekani ntamuuzi mungu nakuwapa amani wao. Akawajibu hivi'' Mimi stojibu swalil enu ,ila ntawatolea mfano muamue wenyewe wa riziki moja halali ,akasema nendeni jangwani (akimaanisha ardhi asiyomiliki mtu) kisha usiwe umepaka mafuta mdomo (akimaanisha mafuta yaweza kuwa hujayapata kihalali) panua mdomo kuelekeza juu na nyoosha ulimi subiri hadi mvua inyeshe ( Jangwani mvua hunyesha baada ya miaka 40 ) ,Kisha lile tone litakalo tua ulimini fumba mdomo meza ,utakuwa umekula riziki halali.
 
Fafanua plz! maana ukisoma katika methali unaambiwa kuwa Tajiri na Maskini hukutana pa1, na wote ni Mungu ndiye aliyewaumba.

Sasa utasemaje kuwa unachokoza imani za Watu?
Wengine hawaamini uwepo wa Mungu sasa ukileta habari za Mungu kwenye discussion kama Kwa watu wengine ni irrelevant
 
jibu ni kwamba hakuna njia halali ya utajiri.alafu mleta mada ameelezea Kwa kirefu lkn watu wamebezi upande mmoja tu Wa ushirikina .wamesahau kuna kudhulumu .kukwepa kodi. wizi.kuuwa kishirikina au kuwauwa wale wote unaoona ni kikwazo kwako katika kufanikisha biashara fulani ambayo itakupa pesa nyingi nao wanaonekana ni kikwazo.

Zipo njia nyingi tena halali za kuleta utajiri hebu muache huru mkulima wa korosho akauze mwenyewe anapotaka na bei apange mwenyewe kama hakuwa tajiri, halafu KODI ambayo haimnufaishi mtoa kodi kwa nafuu ya chochote ni WIZI.
 
Back
Top Bottom