Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,185
- 286,108
dunia nzima itaikumbuka ccm kwa kuvunja sheria za kimataifa , pale ilipomzungusha BILA HATA CHEMBE YA AIBU balozi wa CHINA majukwaani , huku wakimvisha yale majoho ya ile rangi ya mikosi isiyotakiwa kuonwa na mgonjwa yoyote hapa MUHIMBILI !