Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

Kuzaliwa kwny osptal ya ccm kusoma shule za ccm adi chuo kikuu cha ccm naithamin na kuishukuru sana ccm oyeeeeeeeeeeeee
 
Heshima kwenu wakuu, naona muda unayoyoma na ile siku ya CCM kuwa chama kikuu cha upinzani inakaribia sana, ningependa kujua kuwa wewe kama mtanzania utaikumbuka CCM kwa jambo gani jema tangu ilipo ingia madarakani miongo kadhaa iliyopita? Mimi nitaikumbuka kwa kuwa na kauli mbiu nyingi na misemo mingi yenye mvuto wa pekee kuliko vyama vyote!

1. CCM mbele kwa mbele.
2. Maisha bora kwa kila mtanzania.
3. Kilimo kwanza (mapinduzi ya kijani).
4. Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya.
5. Goli la Mkono
6.nk
Pia nitaikumbuka kwa kuwa na nyimbo nzuri zenye mvuto kuliko chama chochote kile
1. Jogoo limewika
2. CCMX2, aaaaaaaaaa, chama cha mapinduzi CCM namba wani.
3. Wapinzani tuwaletee tuwachanechane tuwatupeeee
4.
5.
6. nk
Kama kuna kingine cha kuwakumbuka hawa jamaa unaweza kunikumbusha.

Jamani kwani kimekufa kama CCJ au kimedondoka chooni na kipo taabani kwa bao la mkono?
 
Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Ni usemi wa wahenga ambao Chama cha Mapinduzi (CCM) Kinapenda kuutumia hususani pale wanapojitetea au kujihurumisha kwa wananchi.
Sasa ukiwa kama mtanzania na mzalendo.CCM wanapoondoka madarakani October 25 unalipi la kuwakumbuka kwa kipindi chote wamekuwa madarakani?
Funguka!
 
Ndivyo mnavyodanganyana?

CCM mpaka sasa uchaguzi haujaanza ina majimbo 12.

Unalijuwa hilo? Au Chadomo hampewi taarifa hizo?
 
mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Ni usemi wa wahenga ambao chama cha mapinduzi (ccm) kinapenda kuutumia hususani pale wanapojitetea au kujihurumisha kwa wananchi.
Sasa ukiwa kama mtanzania na mzalendo.ccm wanapoondoka madarakani october 25 unalipi la kuwakumbuka kwa kipindi chote wamekuwa madarakani?
Funguka!

soma hotuba ya raisi ya kufunga bunge- au ndo wale mliosusa na kufungiwa

ata humu jf inapatikana
 
Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Ni usemi wa wahenga ambao Chama cha Mapinduzi (CCM) Kinapenda kuutumia hususani pale wanapojitetea au kujihurumisha kwa wananchi.
Sasa ukiwa kama mtanzania na mzalendo.CCM wanapoondoka madarakani October 25 unalipi la kuwakumbuka kwa kipindi chote wamekuwa madarakani?
Funguka!
Kwa kuchaguliwa tena mwaka 2020
 
Nitaikumbuka kwa kumkata fisadi papa ,ambao ameenda kukinunua chama flani ili liwe pango la mafisadi wenzie wanaofukuzwa ccm.....Asante CCM.....
 
CCM ilitoa rais ambaye aliulizwa na waandishi wa habari katika moja ya safari zake za kujirusha huko Amerika kuwa nini kisa cha nchi yake Tanzania kuwa maskini wakati imejaaliwa rasilimali tele anye akasema "HAJUI Ni KWA NINI TANZANIA NI MASKINI" Ninaamini hata MAGUFULI HAJUI KWA NINi TANZANIA NI MASKINI " JiBU ni Sera mbovu na uongozi usio na maono wa CCM
 
Back
Top Bottom