Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

Nitaikumbuka kwa kuwaibia na kuwatesa watanzania hadi wamekuwa masikini,wanyama pori,tanzanite zimeibiwa na hata hatujuwi nani anafanya mchezo huo kama si viongozi
 
Mungu nisaidie nisije kuikumbuka CCM, maana kila nikifiria hiki chama cha majambazi kilivyolibaka taifa letu huwa nasikitika sana.
 
Nitaikumbuka kama jitu lililokunywa maziwa ya mtoto halafu likambeba likimfunga kwenye nguo, huku likimfinya sana kwa siri likiwa linamuimbia mtoto kwa tabasamu zuri ajabu! Oh baby Oh baby.....Hata mama mzazi akiona anaweza kumtukana mtoto kuwa anadeka sana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
CCM ina uwezo mkubwa sana wa kushikamana na kutetea mambo wanayoanzisha wao hata kama wanajua hayana uhalali. wana uwezo mkubwa wa kutoa dozi za vijembe na kubeza mawazo yote yanayotoka upinzani au wanaharakati wanaowapinga.
 
sitaki hata ikumbukwe , nataka ife na izikwe kwenye korongo refu sana , tena mbali na nchi hii , itokomee kabisa na isirudi tena !
 
si kweli , ccm haina uwezo wowote wa kujenga hoja , inalindwa na madaraka tu .
 
Kama lile la Ngorongoro kreta!!nimekupata mkuu
 
tutawakumbuka na kuwashukuru kwa kutuletea mfumuko wa bei

kila nikifikiria tena na tena sioni uharamia wowote au maradhi yoyote ninayoweza kulinganisha na ccm , hicho chama ni balaa !
 
si kweli , ccm haina uwezo wowote wa kujenga hoja , inalindwa na madaraka tu .

Jamani nyie mkoje? Mie nimechoka kusema mabaya ya CCM. Sasa naanza mema. Nitaikumbuka sana CCM kwa burudani zake nyingi na jinsi ilivyokuwa inawakuna makada wake kwa mtiririko wa mauno. We acha tuu!
ImageUploadedByJamiiForums1396353810.446078.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1396353830.066507.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1396353886.886296.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1396353979.265507.jpg

Funga kazi ni kama hapa ambapo mkulu naye anapewa mauno ya kufa mtu mpaka akiingoa ndani badala ya kusoma hotuba ya kikao che NEC anajikuta anasoma hotuba ya uzinduzi wa daraja la Malagalasi. Cheza na kiduku wewe!
ImageUploadedByJamiiForums1396354147.985303.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hamna swala la kuikumbuka, historia ndio zinakumbukwa mambo yaliyopita.

CCM itaingia tena madarakani kwa kishindo mwaka 2015 sasa tuikumbukie nini wakati itakuwa inaendelea?
 
Uko sahihi. Itarudi madarakani baada ya miaka 50 ya utawala wake kujenga shule kama hizi hapa chini. Kwa hiyo ndani ya 50 mingine waongeze kama hizi. Au sio mkuu?
ImageUploadedByJamiiForums1396354597.650871.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1396354665.548114.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1396354748.846322.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Jamani nyie mkoje? Mie nimechoka kusema mabaya ya CCM. Sasa naanza mema. Nitaikumbuka sana CCM kwa burudani zake nyingi na jinsi ilivyokuwa inawakuna makada wake kwa mtiririko wa mauno. We acha tuu!
View attachment 148416
View attachment 148417
View attachment 148418
View attachment 148419

Funga kazi ni kama hapa ambapo mkulu naye anapewa mauno ya kufa mtu mpaka akiingoa ndani badala ya kusoma hotuba ya kikao che NEC anajikuta anasoma hotuba ya uzinduzi wa daraja la Malagalasi. Cheza na kiduku wewe!
View attachment 148420

Sent from my iPad using JamiiForums

asante KWA PICHA KAMANDA , JAPO UMEISAHAU ILE YA PDG PROFESA AKIWA AKUDO IMPACT .
 
Hamna swala la kuikumbuka, historia ndio zinakumbukwa mambo yaliyopita.

CCM itaingia tena madarakani kwa kishindo mwaka 2015 sasa tuikumbukie nini wakati itakuwa inaendelea?

UMEANDIKA POST YA KIFUKARA SANA ! mbona UMASIKINI HAUZOELEKI , WE MWENZETU UMEUZOEAJE ?
 
Back
Top Bottom