Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

Rasimu ya Jaji Warioba au ya katiba?na je ni rasimu ya tume ya warioba au tume ya raisi?
Hebu tuwasome wenye mamlaka wanasemaje?
"1. Kuwa tume haikutumwa kwenda kuandaa rasimu itakayopendekeza uwepo wa serikali tatu , hivyo hayo ni mambo ambayo tume ilijitungia yenyewe , na hivyo Bunge la katiba litaenda kufanya uamuzi kwa misingi ya
KURA .....na kila mmoja ajiandae kupokea maamuzi ya kura , hata kama yataenda kinyume na mawazo ya tume ya Warioba .

2. Wao hawakutumwa kwenda kupunguza mambo ya Muungano bali ni kwenda kuyaongeza kama vile suala la Afya, Elimu yalipaswa kuongezwa kwenye rasimu hiyo , ila tume imeenda kuyapunguza , hivyo wanatishia uhai wa Muungano na hivyo ni mawazo ambayo hayapaswi kuungwa mkono na mtu yeyote mwenye akili timamu" Dr. Gharib Bilal

mtu mwenye zaidi ya miaka 100 kama kingunge bado unaamini aweza kufikiria vema ?
Na huyu genius naye ulimsikia?
"Serikali ya Muungano katika serikali tatu itamiliki mabomu, mizinga, pingu, bunduki na magari ya maji ya washawasha haitakuwa na vyanzo vya mapato wala rasilimali hivyo haitakopesheka na haitakuwa na msingi imara na hatimaye muungano kuvunjika" Rais Kikwete
 
Kwa upande wa maradhi ya saratani, Februari, 2013 jengo jipya la kulaza wagonjwa 170 lilifunguliwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road. Kufunguliwa kwa jengo hilo kumeongeza uwezo wa taasisi yetu hiyo kulaza wagonjwa 290 badala ya 120 tu kabla ya hapo. Ujenzi wa jengo hili jipya umesaidia sana watu wengi zaidi kuhudumiwa na kupunguza msongamano mkubwa wa wagonjwa uliokuwepo
 
katika mwaka 2013/14 watu milioni 7.1 watapata maji. Katika mwaka ujao wa fedha 2014/15 tumepanga kuwapatia maji watu wengine milioni 7 na mwaka utaofuata (2015/16) tutaongeza tena huduma hiyo kwa watu milioni 1.3 na kufanya tufikie asilimia 74 ya Watanzania wanaopata maji safi na salama ifikapo 2015/2016
 
Kwa ajili ya uzalishaji wa chakula kuwa mzuri, mwaka huu Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula wameweza kununua tani 233,689.8 za nafaka hadi kufikia Desemba 27, 2013 kiasi ambacho hakijawahi kufikiwa miaka ya nyuma. Mwaka 2012 wakati kama huu Wakala ilikuwa na kiasi cha tani 93,047.8 tu na kutulazimisha kutafuta chakula nje ya nchi. Kwa ajili hiyo tulilazimika kuruhusu wafanyabiashara kuagiza mahindi, mchele na sukari kutoka nje kwa nafuu ya kodi. Uamuzi huo umesaidia nchi kuwa na chakula cha kutosha na kuuzwa kwa bei nafuu kwa walaji
 
Bado njaa ni tishio na umasikini uliokithiri.
 
Kwa kuwakata wafanyakazi kodi kubwa kwenye mishahara yao badala ya kupambana na wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa
 
Mimi nitaikumbuka CCM kwa
1) Wizi wa kura,
2) Vijembe na kebehi,
3) Wizi wa mali ya umma,
4) Rushwa iliyokithiri,
5) kubembeleza muungano kwa pesa Nyingi
6) kubariki Zanzibar iwe Nchi
 
Ni dhahiri harakati zinazofanya na vyama vya siasa vya upinzani kwa ujumla wake zinatishia uhai wa ccm pamoja na ccm kutumia mbinu za kihafidhina na kuwatumia makukulimbwe kama Mwigulu bado uhai wake ccm umeteteleka.

Kiti kiko wazi wa upinzani.unadhani utaikumbuka ccm kwa lipi liwe jema ama baya.

Mimi kama mimi nitaikumbuka ccm kwa kuweza kuwadanganya wananchi bila woga.

""Where we dare to talk openly""
binafsi nitaikumbuka CCM kwa kunipigisha kwata kwenye halaiki na kuniimbisha nyimbo za kizalendo wakati ule na SASA naichukia kwa dhaati kabisa baada ya kuuza rasilimali za nchi kwa bei chee....Nitaikumbuka CCM kama chama kilichoshindwa kutuletea maendelea ingawa Mwenyeezi Mungu ametupa Rasilimali za kipekee na za kila aina kwa maendeleo ya vitu na watu!!! RIP CCM ..you ll die just like any other cowards ...
 
Ha! Ha! Haaaa !!!! Umeua mjomba .
 
Nitaikumbuka CCM mara baada ya Uchaguzi 2015,kwa kupata ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu wa 2015,na matokeo hayo kukisambalatisha chama cha sabodo
 
Back
Top Bottom