Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,503
- 42,576
ndiyo shida sasa , kujipachika msivyovijua !
Najivunia asili yangu
ndiyo shida sasa , kujipachika msivyovijua !
nguruwe pita sina mkuki mie wewe haramu kwangu...hebu tupe mrejesho wa maandishi mekundu una maana gani,ndo kipimo cha akili yako kilipofikishwa na mumeo ccm hata takwimu zako ni za kimagumashi kama mlivyozoea.huo umeme wa kimagumashi umewasaidia kina nani zaidi ya mkulu na koo zake za kifalme,mademu ma washikaji zeke!.ndo sababu tunasema nyie ni majanga matokeo ya misukule (ghost) ndani ya ccm.kwa upumbavu uliuojaliwa na ccm hakika ugonjwa ulionao hautaweza kupona afadhali yako kuu ni mauti.kwa miaka yangu 5 ya uhandisi sijawahi kusikia neno mega wait (megawatt).
Najivunia asili yangu
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameishukru serikali ya Tanzania kwa kuanza kupeleka umeme vijijini hasa Jimboni mwake. Ametoa shukurani hizo bungeni kwenye kipindi cha maswali na majibu tarehe 17 Desemba 2013Nguruwe pita sina mkuki mie wewe haramu kwangu...hebu tupe mrejesho wa maandishi mekundu una maana gani,ndo kipimo cha akili yako kilipofikishwa na mumeo CCM hata takwimu zako ni za kimagumashi kama mlivyozoea.Huo umeme wa kimagumashi umewasaidia kina nani zaidi ya mkulu na koo zake za kifalme,mademu ma washikaji zeke!.ndo sababu tunasema nyie ni majanga matokeo ya misukule (ghost) ndani ya CCM.Kwa upumbavu uliuojaliwa na CCM hakika ugonjwa ulionao hautaweza kupona afadhali yako kuu ni mauti.Kwa miaka yangu 5 ya uhandisi sijawahi kusikia neno mega wait (MegaWatt).
Badala ya kuongeza juhudi za kuzuia saratani yeye mkulu anasifu wanaume (USA) kumuongezea uwezo wa kutibu ptuu looh, hata haya hamnayo!Ni akili kujisifu kuongeza magereza au kupunguza uhalifu?
UAFRIKA SIYO USWAHILI mjomba .
ndiyo shida sasa , kujipachika msivyovijua !
LUSUNGO rudi shule haki ya nani, hujui hata maana mswahili? eti na wewe ni mswahili?
Binafsi nitaikumbuka kwa kuwadanganya watu na kuwafanya mapoyoyo.
bila kusahau mpango wa matokeo makubwa sasa ( BRN ) ,maabara kila shule na kupungua kwa deni la taifa kulikosababishwa na kuimarika kwa shilingi yetu.Kupiga mabomu wapinzani.
swissme
Ntaikumbuka ccm kwa kutupatia rais kwa mara ya kwanza 2015.