Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

Itakumbukwa kushika serikali za mitaa vitongoji kwa%84 na kushika Halmashauri kwa % 94

Kutangazwa mshindi na kushinda ni vitu viwili tofauti. Na kushinda ili uendeshe dola kuleta maendeleo na kushinda halafu ukaendesha dola yenye kila kitu lakini ukaitumbukiza dola hiyo kwenye umasikini ni jambo lingine.
Mfano mzurini Zimbabwe.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
MAFANIKIO SERIKALI YA CCM
Mafanikio ya nchi yanapimwa kimataifa na hivi sasa kigezo kikubwa cha kupima maendeleo ya nchi ni malengo ya millennia.
Barabara: mwaka 1961 zilikuwa kilomita 1,300
- baada ya miaka 50 kilomita zilifikia takribani 6,000
- hivi sasa kilomita zimeshafikia 11,000
- mwaka 2015 inakadiliwa kufikia 18,000
- bilioni 450 za barabara ukilinganisha na bilioni 56 miaka 5 iliyopita
- kujenga miundombinu ya barabara.
 
Ni dhahiri harakati zinazofanya na vyama vya siasa vya upinzani kwa ujumla wake zinatishia uhai wa ccm pamoja na ccm kutumia mbinu za kihafidhina na kuwatumia makukulimbwe kama Mwigulu bado uhai wake ccm umeteteleka.

Kiti kiko wazi wa upinzani.unadhani utaikumbuka ccm kwa lipi liwe jema ama baya.

Mimi kama mimi nitaikumbuka ccm kwa kuweza kuwadanganya wananchi bila woga.

""Where we dare to talk openly""
Madaraja makubwa:
- Kati ya madaraja makubwa 5 yaliyoahidiwa mwaka 1969 kujengwa. Serikali ya awamu ya nne inajenga
madaraja 3 Kilombero, Malagarasi na Kigamboni. Mengine yalikuwa Kilumi la mto Mara lilijengwa Mwl.
Nyerere na Rufiji lilijengwa na Mkapa.

Nishati ya umeme:
- Kutoka mega wait 7 za Pangani falls wakati wa uhuru hadi mega wait 561 awamu ya tatu
- hivi sasa kuna uzalishaji wa mega wait 1500 za uhakika ndiyo maana hakuna mgao wa umeme
- 2015 baada ya bomba la gesi kukamilika inakadiriwa kufikia uzalishaji mega wait 3000 na zaidi
- Kuna mradi wa umeme vijijini, huu kwa kiasi kikubwa ni umeme wa kutumia nguvu ya jua. Hivi sasa awamu ya kwanza ya mradi huu imeshamalizika na unaingia kwenye awamu ya pili utakao gharimu takribani shilingi bilioni 850 utakaofika mikoa yote 24 ya Tanzania bara na asilimia karibu 80 ya fedha hizo zitatolewa na Serikali yetu, hii na hatua kubwa sana kufikiwa katika nchi ya EAC
- kuongezeka ajira kwenye sekta ya nishati ya umeme.
- Kujenga miundombinu ya nishati ya umeme.
 
MPAKA SASA ni ASILIMIA NGAPI YA WATANZANIA WANATUMIA NISHATI YA UMEME , NA KWANINI ? USITULETEE TAKWIMU ZA KIZUSHI HAPA , TUSHADANGANYWA SANA .
 
Aaah mkuu Erythrocyte ndio unasema nini? Tumeambiwa huyo ndio bingwa wa siasa za kimkakati halafu wewe unamponda? Ngoja tumwalike zumbemkuu aje atusaidie mawazo katika thread hii muhimu ya jinsi gani tutaikumbuka CCM iliyodumu madarakani kwa 50 years. Mkuu zumbemkuu karibu ipitie hii thread ya kumbukumbu ya chama "chetu"

Sent from my iPad using JamiiForums
dah! mkuu ni mengi sana kwakweli, ila kubwa kuliko yote ntaikumbuka CCM kwa kutupatia rais dhaifu kuliko wote duniani, ni dhaifu huo CCM wamewageuza wanaume wa Tanganyika masabu...ri wazi kwa kuingia mikataba na wazungu, noma sana, ni mengi ya kukumbuka ila kwa leo ni hayo tu, naelekea lushoto kufufua mizimu ya babu walau nipate japo na mazongo mawili matatu
 
Halafu wanasema watatawala daima ili hao vijana kwa elimu wapatayo hapo ndio waje waendeshe nchi. Hawa jamaa wana ubongo wa samaki.
View attachment 148429
Ndio maana bado wanashabikia mambo yasiyo na tija kwa taifa. Hapo hapo viongozi wa chama chao badala ya kuumiza vichwa kututoa hapa tulipo wao wanajiingiza kwenye michezo ya watoto wadogo. Ni aibu.
View attachment 148432
View attachment 148433
View attachment 148434

Sent from my iPad using JamiiForums
hahhhaa, dah, hii kali CC Henge
 
Last edited by a moderator:
dah! mkuu ni mengi sana kwakweli, ila kubwa kuliko yote ntaikumbuka CCM kwa kutupatia rais dhaifu kuliko wote duniani, ni dhaifu huo CCM wamewageuza wanaume wa Tanganyika masabu...ri wazi kwa kuingia mikataba na wazungu, noma sana, ni mengi ya kukumbuka ila kwa leo ni hayo tu, naelekea lushoto kufufua mizimu ya babu walau nipate japo na mazongo mawili matatu

Ha ha ha ! Sio kuwa nacheka kwa vile ni mazuri ila siku nyingi nchi hii haijavunja rekodi za dunia tokea enzi za Bayi na kina Shahanga. Sasa kuniambia kuwa tutapata medali ya dhahabu ubingwa wa Dunia katika udhaifu lazima nicheke maana hiyo sijui tunapiga vigelegele au tunatoa machozi!

Sent from my iPad using JamiiForums
 
dah! mkuu ni mengi sana kwakweli, ila kubwa kuliko yote ntaikumbuka CCM kwa kutupatia rais dhaifu kuliko wote duniani, ni dhaifu huo CCM wamewageuza wanaume wa Tanganyika masabu...ri wazi kwa kuingia mikataba na wazungu, noma sana, ni mengi ya kukumbuka ila kwa leo ni hayo tu, naelekea lushoto kufufua mizimu ya babu walau nipate japo na mazongo mawili matatu

Ukifika Lushoto kama utapita Malibwi ma Kwemakame wape hi waambie tuko pamoja. Pia peleka salamu Mtae waambie yule msaliti nikija kamanda Chakaza nikute amehama.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Jamani nyie mkoje? Mie nimechoka kusema mabaya ya CCM. Sasa naanza mema. Nitaikumbuka sana CCM kwa burudani zake nyingi na jinsi ilivyokuwa inawakuna makada wake kwa mtiririko wa mauno. We acha tuu!
View attachment 148416
View attachment 148417
View attachment 148418
View attachment 148419

Funga kazi ni kama hapa ambapo mkulu naye anapewa mauno ya kufa mtu mpaka akiingoa ndani badala ya kusoma hotuba ya kikao che NEC anajikuta anasoma hotuba ya uzinduzi wa daraja la Malagalasi. Cheza na kiduku wewe!
View attachment 148420

Sent from my iPad using JamiiForums
hahahaha, wapwa zangu Elli na MANI mje mtoe neno huku
 
Last edited by a moderator:
Ukifika Lushoto kama utapita Malibwi ma Kwemakame wape hi waambie tuko pamoja. Pia peleka salamu Mtae waambie yule msaliti nikija kamanda Chakaza nikute amehama.

Sent from my iPad using JamiiForums
yule msaliti MTAE nilitangaza hitima yake siku nikikutana nae, hata mkuu MANI analitambua hilo, alipewa hela na ngwilizi akala kona, natangaza dau milioni 2 kwa yeyote atakayenipatia taarifa zake alipo, anaitwa ALLY JUHA , sijui ni JUHA au JAHA, picha chini ni nyumba ya babu yake aliyopewa urithi, na CCM wanajua hilo
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=148494&stc=1&d=1396365710
 
Attachments

  • GOROFA.jpg
    GOROFA.jpg
    17.8 KB · Views: 67
Last edited by a moderator:
hahahaha, wapwa zangu Elli na MANI mje mtoe neno huku

Unajua Thread yenyewe imenivutia sana. "Utaikumbuka kwa lipi CCM baada ya 2015?" Unajua mambo hayo tunakutana nayo makaburini tunaposoma wasifu wa Marehemu. Ndio wakati wakuelezea sifa za marehemu. Na sifa ni jambo lolote lile lisilo la kawaida kama ulivyosema " bingwa wa udhaifu duniani". Watu wanaweza kudhani ni kejeli kumbe hiyo ni sifa! Yaani umewazidi wote. Hata hivyo tumeanza kwa wakati muafaka kutoa RIP ili kujiandaa kisaikolojia 2015 msiba huu utakapokamilika.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
yule msaliti MTAE nilitangaza hitima yake siku nikikutana nae, hata mkuu MANI analitambua hilo, alipewa hela na ngwilizi akala kona, natangaza dau milioni 2 kwa yeyote atakayenipatia taarifa zake alipo, anaitwa ALLY JUHA , sijui ni JUHA au JAHA, picha chini ni nyumba ya babu yake aliyopewa urithi, na CCM wanajua hilo
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=148494&stc=1&d=1396365710

Mkuu hiyo Milioni 2 hebu kula na shemeji pale Laws Hotel ukifika. Mie nikipata habari zake nitakufahamisha bureee! Ila utamkuta katika hali akiwa taabani labda kama hivi
ImageUploadedByJamiiForums1396366052.141142.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo Milioni 2 hebu kula na shemeji pale Laws Hotel ukifika. Mie nikipata habari zake nitakufahamisha bureee! Ila utamkuta katika hali akiwa taabani labda kama hivi
View attachment 148497

Sent from my iPad using JamiiForums
duh! ''hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi''
mkuu huyu si tajiri namba moja Tanzania huyu?
 
duh! ''hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi''
mkuu huyu si tajiri namba moja Tanzania huyu?

Mkuu usicheze na nguvu ya umma. Samwel Doe aliburuzwa mitaani kama mzoga wa mbwa mwizi wakati alikuwa na majeshi,utajiri wa mali na almasi na himaya. Nasema hivi nguvu ya umma siyo ya kuchezea. Nasio kuwa nawatolea vitisho watu bali nawapa uhalisia.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
MAFANIKIO SERIKALI YA CCM
Mafanikio ya nchi yanapimwa kimataifa na hivi sasa kigezo kikubwa cha kupima maendeleo ya nchi ni malengo ya millennia.
Barabara: mwaka 1961 zilikuwa kilomita 1,300
- baada ya miaka 50 kilomita zilifikia takribani 6,000
- hivi sasa kilomita zimeshafikia 11,000
- mwaka 2015 inakadiliwa kufikia 18,000
- bilioni 450 za barabara ukilinganisha na bilioni 56 miaka 5 iliyopita
- kujenga miundombinu ya barabara.

Ubora wa raia mmoja mmoja si kitu eti??? Watakula,kusoma na kuvaa barabara eeeeeee!!!
 
Last edited by a moderator:
Mafanikio ya sekta ya kazi na ajira Tanzania.
Kwenye sekta hii pamoja malalamiko ya ukosefu wa ajira lakini kuna hatua kubwa ya maendeleo iliyofikiwa na hasa ukizingatia kuwa hakuna sehemu yoyote duniani usiyosikia kelele hizi hata kwa hao mataifa makubwa kelele hizi nipo, lakini pia majirani zetu wanakimbila Tanzania kufatuta ajira kwa kuamini kuna nafuu ya kupata ajira jambo ambalo ni kweli.
Kwa mujibu wa takwimu za shirika la kazi duniani ILO na shirika la UNDP
Ugiriki matatizo ya ajira ni 92%
Spain matatizo ya ajira ni 55%
Italia matatizo ya ajira ni 38%
S.Afica matatizo ya ajira ni 40%
Kenya matatizo ya ajira ni 40%
Baadhi ya mafanikio ni kama yafuatayo:
- Vijana waoajiriwa ni 9,056,217 sawa na %80.6 ya vijana nguvu kazi yote ya vijana waliostahili kuajiriwa kwenye sekta rasmi na isiyo rasmi.
- Katika 2011/2012 jumla ya ajira 250,678 zilipatikana
- Katika mwaka 2013 inatarajiwa kutengenezwa ajira 800,000 kutokana na miradi ya TASAF, Ujenzi na barabara, maeneo ya uwekezaji (TIC), mamlaka ya ukanda wa uchumi(EPZA), kilimo, mawasiliano, viwanda, elimu, nishati, afya na utumishi kuu n.k.
- Fidia kwa watumishi wa umma baada ya kuumia kazini mwaka wa fedha uliokwisha jumla ya watumishi 176 walilipwa shilingi 19,999,000 kama fidia
- Vita dhidi ya ajira kwa watoto na mazingira hatarishi kazini, jumla ya watoto 22,243 wametolewa katika utumikishwaji na kupatiwa mafunzo ya fani mbalimbali ikiwemo elimu ya msingi watotot 8,402 elimu ya MEMKWA watoto 1,428 na elimu ya ufundi watoto 12,413
- Kuimarisha taarifa za ajira, ujasiliamali na utambuzi wa fursa za kujiajiri
- Ajira kwa wageni imedhibitiwa
 
Mimi siyo CCM na wala CCM siyo mama yangu.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM kwenye barabara wamejitahidi.
 
Back
Top Bottom