Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

Jamani nyie mkoje? Mie nimechoka kusema mabaya ya CCM. Sasa naanza mema. Nitaikumbuka sana CCM kwa burudani zake nyingi na jinsi ilivyokuwa inawakuna makada wake kwa mtiririko wa mauno. We acha tuu!
View attachment 148416
View attachment 148417
View attachment 148418
View attachment 148419

Funga kazi ni kama hapa ambapo mkulu naye anapewa mauno ya kufa mtu mpaka akiingoa ndani badala ya kusoma hotuba ya kikao che NEC anajikuta anasoma hotuba ya uzinduzi wa daraja la Malagalasi. Cheza na kiduku wewe!
View attachment 148420

Sent from my iPad using JamiiForums

CCM CHAMA cha MAUNO .
 
Hamna swala la kuikumbuka, historia ndio zinakumbukwa mambo yaliyopita.

CCM itaingia tena madarakani kwa kishindo mwaka 2015 sasa tuikumbukie nini wakati itakuwa inaendelea?

Hujakosea kabisa unajua sie watz tumeshazoea shida, sasa ccm akiondoka nani atatupatia hizi shida tulizoziea?
 
Uhuru wa kuongea sasa hivi kila mtu anaongea bila hofu tofauti na tawala zilizopita watu walizibwa midomo

hatuongei, tunaandika!
hali ya namna hii si sera ya ccm, ni nguvu, mapinduzi ya kimaendeleo ya kisayansi na teknolojia!
 
eee bhana eeee ! Haya majanga yako NCHI HII ? DAH ! KWELI CCM NI ZAIDI YA SHETANI ! HIVI HAWA WATOTO WAO WANAORITHISHWA UONGOZI WALISOMEA HUMU ?

Halafu wanasema watatawala daima ili hao vijana kwa elimu wapatayo hapo ndio waje waendeshe nchi. Hawa jamaa wana ubongo wa samaki.
ImageUploadedByJamiiForums1396356519.443142.jpg
Ndio maana bado wanashabikia mambo yasiyo na tija kwa taifa. Hapo hapo viongozi wa chama chao badala ya kuumiza vichwa kututoa hapa tulipo wao wanajiingiza kwenye michezo ya watoto wadogo. Ni aibu.
ImageUploadedByJamiiForums1396356652.318843.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1396356677.221046.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1396356844.668507.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nitaikumbuka ccm kwa mauaji ya tembo. Rest in peace tembo wote mliouawa kwa sababu ya ccm
 
asante KWA PICHA KAMANDA , JAPO UMEISAHAU ILE YA PDG PROFESA AKIWA AKUDO IMPACT .

Unazungumzia pekecha pekecha! Haya mkuu kama roho yako inasuuzika kwa juhudi za chama " chetu" pata uhondo.
ImageUploadedByJamiiForums1396357191.910523.jpg

Kwa heshima uako pata na bonasi kidogo katika kutwanga na kupepeta. Haya ni mafanikio ya kujivunia sana. Kama "Kapiteni" na tumbo hilo anaweza kuyarudi ni jambo la kukumbukwa katika historia ya chama "chetu"
ImageUploadedByJamiiForums1396357692.091512.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Unazungumzia pekecha pekecha! Haya mkuu kama roho yako inasuuzika kwa juhudi za chama " chetu" pata uhondo.
View attachment 148437

Kwa heshima uako pata na bonasi kidogo katika kutwanga na kupepeta. Haya ni mafanikio ya kujivunia sana. Kama "Kapiteni" na tumbo hilo anaweza kuyarudi ni jambo la kukumbukwa katika historia ya chama "chetu"
View attachment 148451

Sent from my iPad using JamiiForums

HA! HA! HA! HA! UbARIKIWE SANA !
 
Halafu wanasema watatawala daima ili hao vijana kwa elimu wapatayo hapo ndio waje waendeshe nchi. Hawa jamaa wana ubongo wa samaki.
View attachment 148429
Ndio maana bado wanashabikia mambo yasiyo na tija kwa taifa. Hapo hapo viongozi wa chama chao badala ya kuumiza vichwa kututoa hapa tulipo wao wanajiingiza kwenye michezo ya watoto wadogo. Ni aibu.
View attachment 148432
View attachment 148433
View attachment 148434

Sent from my iPad using JamiiForums

HIYO YA KINANA IMENICHEKESHA SANA ! MAANA ni UTAPELI WA KISIASA WA KIWANGO CHA CHINI MNO !
 
HIYO YA KINANA IMENICHEKESHA SANA ! MAANA ni UTAPELI WA KISIASA WA KIWANGO CHA CHINI MNO !

Aaah mkuu Erythrocyte ndio unasema nini? Tumeambiwa huyo ndio bingwa wa siasa za kimkakati halafu wewe unamponda? Ngoja tumwalike zumbemkuu aje atusaidie mawazo katika thread hii muhimu ya jinsi gani tutaikumbuka CCM iliyodumu madarakani kwa 50 years. Mkuu zumbemkuu karibu ipitie hii thread ya kumbukumbu ya chama "chetu"

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
me ntaikumbuka kwa kutuongezea umaskini uliopitiliza.
 
Nitaikumbuka CCM kwa ushindi mnono wa chopa 3 kata 3
 
Aaah mkuu Erythrocyte ndio unasema nini? Tumeambiwa huyo ndio bingwa wa siasa za kimkakati halafu wewe unamponda? Ngoja tumwalike zumbemkuu aje atusaidie mawazo katika thread hii muhimu ya jinsi gani tutaikumbuka CCM iliyodumu madarakani kwa 50 years. Mkuu zumbemkuu karibu ipitie hii thread ya kumbukumbu ya chama "chetu"

Sent from my iPad using JamiiForums

HAKUNA LOLOTE ! hata WILSON MUKAMA ALIPOINGIA TULIAMBIWA HAYA HAYA , LAKINI LEO UNAMSIKIA POPOTE TENA ? ITAKUWA HUYO MWENYE MELI YA KUBEBEA MAGUMASHI ! SUBIRI KIDOGO , KITAMNUKIA MUDA SI MREFU !
 
Last edited by a moderator:
Nitaikumbuka CCM kwa ushindi mnono wa chopa 3 kata 3

Safi sana. Ambazo kabla ya uchaguzi huo hali ilikuwa hivi;
CCM ILIKUWA NA KATA 26
CHADEMA ILIKUWA NA KATA 1 hivyo jumla kata 27.
Baada ya uchaguzi CCM IKAWA NA KATA 24 Na CHADEMA KATA 3.
Kwa hesabu nilizofundishwa darasa la tatu za kujumlisha na kutoa machungwa tayari nimeshaona nani alifaidika na machungwa hayo.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
HAKUNA LOLOTE ! hata WILSON MUKAMA ALIPOINGIA TULIAMBIWA HAYA HAYA , LAKINI LEO UNAMSIKIA POPOTE TENA ? ITAKUWA HUYO MWENYE MELI YA KUBEBEA MAGUMASHI ! SUBIRI KIDOGO , KITAMNUKIA MUDA SI MREFU !

Nasikia ile issue yake na Nape ya kuwaita mawaziri mizigo kidogo imrudishe Somaliland kama sio juhudi za mkulu kumwokoa na kuamua kuua soo kule Mbeya.
Sasa unaona kesha anza kujisahau tena! Juzi mikutano yake anailaumu serikali ( ya CCM ) kushindwa kutengeneza miundo mbinu Dar es salaam! Utahikiri yeye ni Katibu mkuu wa UDP. Kidogo nijiulize au huyu jamaa kapata " kichaa cha Tembo" ? Maana kama Mbwa ana kichaa pengine hata Tembo naye anacho.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
CCM
- Imejenga mabarabara mara mbili ya idadi ya kilomita alizozikuta
- Imejenga madaraja makubwa sana 3 kati ya 5 aliyoyaahidi Nyerere
- Imeleta vyuo vikuu zaidi ya 44 ? mara 4 zaidi ya waliowakuta
- Imewezesha wanafunzi 160,000 wa vyuo vikuu mara 4 zaidi ya aliowakuta
- Imejenga chuo kikubwa kuliko vyote EAC.
- Imeejenga chuo kikubwa cha sayari kwenye ukanda huu cha Nelson Mandera
- Imepeleka sekondari hadi kwenye kata
- Imezalisha umeme wa mega wait 1500 mara mbili zaidi ya alioukuta
- Imeanzisha umradi wa kupeleka umeme vijijini?
- Inajenga bomba la gesi kubwa toka Mtwara hadi DAR
- Inajenga barabara ya mabasi yaendayo haraka.
- Tanznaia inayekubalika na viongozi wote wakubwa wa Dunia hii
- Iliyeanzisha hospital ya tiba ya moyo nchini
- Iliyesogeza huduma za afya karibu na wananchi
- Iliyejenga miundombinu ya afya
- Iliyeboresha huduma ya maji nchini
- Iliyeongeza ajira nchini. Tatizo la ajira nchi ni 20% ukilinganisha na Kenya 40% A. Kusini 40% . kwa mujibu wa Takwimu za ILO na UNDP.
- Badala yake Kinyelezi inakuwa ni Japan kwa vinu vikubwa vya kuzalisha umeme
wa gesi.
 
Safi sana. Ambazo kabla ya uchaguzi huo hali ilikuwa hivi;
CCM ILIKUWA NA KATA 26
CHADEMA ILIKUWA NA KATA 1 hivyo jumla kata 27.
Baada ya uchaguzi CCM IKAWA NA KATA 24 Na CHADEMA KATA 3.
Kwa hesabu nilizofundishwa darasa la tatu za kujumlisha na kutoa machungwa tayari nimeshaona nani alifaidika na machungwa hayo.

Sent from my iPad using JamiiForums

Itakumbukwa kushika serikali za mitaa vitongoji kwa%84 na kushika Halmashauri kwa % 94
 
CCM
- Imejenga mabarabara mara mbili ya idadi ya kilomita alizozikuta
- Imejenga madaraja makubwa sana 3 kati ya 5 aliyoyaahidi Nyerere
- Imeleta vyuo vikuu zaidi ya 44 ? mara 4 zaidi ya waliowakuta
- Imewezesha wanafunzi 160,000 wa vyuo vikuu mara 4 zaidi ya aliowakuta
- Imejenga chuo kikubwa kuliko vyote EAC.
- Imeejenga chuo kikubwa cha sayari kwenye ukanda huu cha Nelson Mandera
- Imepeleka sekondari hadi kwenye kata
- Imezalisha umeme wa mega wait 1500 mara mbili zaidi ya alioukuta
- Imeanzisha umradi wa kupeleka umeme vijijini?
- Inajenga bomba la gesi kubwa toka Mtwara hadi DAR
- Inajenga barabara ya mabasi yaendayo haraka.
- Tanznaia inayekubalika na viongozi wote wakubwa wa Dunia hii
- Iliyeanzisha hospital ya tiba ya moyo nchini
- Iliyesogeza huduma za afya karibu na wananchi
- Iliyejenga miundombinu ya afya
- Iliyeboresha huduma ya maji nchini
- Iliyeongeza ajira nchini. Tatizo la ajira nchi ni 20% ukilinganisha na Kenya 40% A. Kusini 40% . kwa mujibu wa Takwimu za ILO na UNDP.
- Badala yake Kinyelezi inakuwa ni Japan kwa vinu vikubwa vya kuzalisha umeme
wa gesi.

Hivi hapa unalinganisha CCM na nani? Maana kama vile unajichanganya hueleweki unazungumzia CCM au unamzungumzia Kikwete! Hebu tuweke sawa kwanza maana Thread haimzungumzii huyo Kikwete inazungumzia Nini kitakumbukwa kwa CCM

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom