Utahamia lini kijijini?

Kwahiyo kwa akili yako unaona hii story yake ni uhalisia.
 
Story ya kutunga na haina uhalisia, picha yenyewe uliyoweka ya mazingira kama England.
Na hizo harakati huzijui kabisa, mtu anayejua angedanganya kiasi isiwe rahisi kugundua uongo wake.

Ukute hapo uko Tandale kwa Tumbo.
Yaani mvivu sana story kaandika kwa chat gpt kisha picha kagoogle tu kabandika ni mjinga sana huyu jamaa
 
Story ya kutunga na haina uhalisia, picha yenyewe uliyoweka ya mazingira kama England.
Na hizo harakati huzijui kabisa, mtu anayejua angedanganya kiasi isiwe rahisi kugundua uongo wake.

Ukute hapo uko Tandale kwa Tumbo.
Maisha matamu yanapatikana kijijini
 
Nafikiri wewe ndo haujaelewa .

Story ametunga.

Ila ni kama mwandishi alikuwa aki-meditate kuhusu future yake

Anafanya manifest kuelekea manifestation .

Hamna uhalisia Ila kuna uhalisi .

Ameanzia Mwisho kuja mwanzo .
Hakuna uhalisi. Uhalisi gani wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku, ng'ombe idadi yote hiyo kwa ajili ya kitoweo, mayai na maziwa kwa mke na mume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…