Utahamia lini kijijini?

Kabadili picha sasa hivi
 
Karibu sana kijijini, ila tu usitubadilishie mazingira ya kijijini kuwa ya kimjini.
 
Samahani nikisafirisha punda WAWILI kuwaleta huko kwa AJILI ya kubeba mizigo kama mchanga TU vitu kiasi Ina RUKSA au hawaruhusu


Kwishaaaaaaaa
Ukipeleka farasi itakuwa bora zaidi
 
Nimebakisha miaka minne tu mjini hapa
Life lililobakia naenda malizia kijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…