Utafiti wangu wa kijinga kuhusu madereva wa Serikali

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
853
1,005
Habari zenu! Naipa serikali siri hii ili iwasaidie.Baaadhi ya Madereva wakongwe serikalini hawawapendi madereva wapya yaani underground drivers.

Wanachowafanyia ni ubaya wanalegeza pipe za breki zinamwaga mafuta kidogo kidogo hatimae ajali za kukosa breki zinaleta madhara.

Madereva vijana kuweni zaidi ya makini kuepuka ajali za kusababishiwa na wabaya.Kagua gari sehemu muhimu kabla ya safari tulinde watimishi wetu wasio na hatia
 
Hii imekaaje mkuu, hao wakongwe wakiwafukuzisha wenzao kazk wao wanafaidika na kitu gani?

Au ndio kuwasingizia tu.
Mimi ni dhahabu matopeni sionekani Kabisa lkn Nina madini mengi sana kichwani mwangu hii thread ni Moja ya madini mengi niliyo nayo
 
Binafsi kikubwa nikijuacho hivi videreva vya serikali vikiwa kwenye Yale magari ya serikali navyo hujiona vimekuwa serikali.. Mimbio isiyo na maana, wrong overtakes na kuchomekea n.k n.k

Acha tu wapasuke..
Tuwe na moyo WA huruma Kwa tunao waendesha siku Moja nimepewa gari kusaforisha ofisa flani sikuwa na haraka nikamuomba ofisa dk 5 nikague gari baada ya ukaguzi nikamwambia asubiri nikaze nati za tairi ya Mbele kulia zilikuwa zimelegea kabisa akanishukuru sana na alikuwa na harakasana
 
Ngumu Sana Kuamini Ramli Chongonishi
Hapo Home Kwako Kama Una Gari Halafu Ufuatilie Huo Mfumo Wa Breki Uulegeze Siyo Rahisi




Vinginevyo Ataje Alikoona Hili Jambo
Fanya ukaguzi kabla ya safari itakuja kutana nayo haya
 
Hoja

Ushaendesha magari ya serikali mangapi?

Ushapokezana na madereva wakongwe wangapi,ukagundua wanahujumu vyombo vya serikali.

Je,Kama wewe si dereva umefanya utafiti wako kwa muda gani?

Ushaongea na madereva at least wangapi ili kujiridhisha?

Baada ya kugundua hydraulic pipe ya breki inavujisha,kwanini usingewasiliana kwanza na dereva mwenzio kabla hujaianza safari ili lawama zisikuangukie wewe

Unajua unavyoleta taarifa ambayo Moja kwa Moja inahusisha kodi zetu, lazima wanaohujumu wote wafikishwe kwenye vyombo vya Sheria huku wewe ukiwa shahidi

Kinyume na hapo wewe ni mnafiki
 
Back
Top Bottom