Utafiti wangu juu ya Wanachama wa JF

Utafiti wangu juu ya Wanachama wa JF

HIvi wanaotumiaga JF ni wakina nani mana sijawah kutana hata bahat mbaya mtu anatumia JF sehem yoyote. mfano fb au whatsap au ista watu unaeza kutana nao wakiitumia
JF watu wanatumia kwa siri ili asijulikane huko nje.

Mimi pia nikiwa ama kwenye gari au kwenye watu wengi sijawahi kuona mtu anaperuzi JF ila kwa mitandao mingine hawaogopi.

Mimi huwa naperuzi JF hata nikiwa kwenye watu wengi ila nacomment kwa kujificha ili nisije kujulikana.

Nikiona hamna nafasi ya kuniruhusu nicomment naishia kusoma tu
 
Nshatongozaga mchuchu mmoja... kuja kustuka ni mfanya usafi ofisini kwetu wakati alinidanganya yeye ni mwalimu Agha Khan.... shetani aliniokoa kwa kumwomba namba yake. Ile najaribu kuipiga mara likatokea jina lake... kumamae walahi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom