Utafiti wangu juu ya Wanachama wa JF

Utafiti wangu juu ya Wanachama wa JF

Ukichunguza kwa makin 70% ya member wako against serikali yetu,

30% ya member wandered kuwa jinsia ya kike ,kumbe madume,

50% ,Wanapretend ni diasporas kumbe wako kwa mtogole

80% ya member upretend wana informers vitengo nyeti kama ikulu na TISS

20% ndo verified users

10% ni maskini hawana majumba na gari, ila 90% uandika story za kupretend maisha powa,

60% wanasema wana elimu ya chuo kikuu kumbe wengine wako sekondari

15% wana akaunt zaid ya moja uanzisha uzi na kujijibu

60% ya wanaume MMU husema wanapiga show ya kibabe kitandani,

50% ya wasichana husema hawapendi hela sana kwenye mapenzi

20% wanasema walitendwa na mabwana zao,

75% ya wanaume MMU hujifanya hawaumizwi na mapenzi kumbe ujasiri ni wa kwenye JF tu haha yeah


Je we umegundua nini??
Mbona hizo asilimia zinazidi mia
 
Mimi nilichogundua hapo mkuu hizo asilimia zimezidi
 
Ñimegundua watu wengi wamekula tunda kimasihara!!!
 
HIvi wanaotumiaga JF ni wakina nani mana sijawah kutana hata bahat mbaya mtu anatumia JF sehem yoyote. mfano fb au whatsap au ista watu unaeza kutana nao wakiitumia
Nakumbuka 2016 nikiwa kwenye mwendo kasi Magomeni Dar nilimuona mdau anaperuzi Jf
Pia majuzi kati kuna mskaji wangu nilimuana anaperuzi Jf ,nikamwambia naww pia ni mwanajamvi akajifanya haelewi elewi nikisemacho
Nikagundua kajua ninacho sema ila anajifanyisha haelewi
 
Back
Top Bottom