britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 18,053
- 46,703
Ni sisiHIvi wanaotumiaga JF ni wakina nani mana sijawah kutana hata bahat mbaya mtu anatumia JF sehem yoyote. mfano fb au whatsap au ista watu unaeza kutana nao wakiitumia

HahaNimegundua Humu waganga wa kienyeji ni wengi mno..
Na wengi waliopiga kura 2015 ndio wenye hasira sana kila uziii..