Utafiti:wanawake weusi wanapenda kujikoboa

Utafiti:wanawake weusi wanapenda kujikoboa

Hapana ndugu usijifiche katika chaka la wazungu au unabii! Utafiti lazima uwe na lengo kuu.., unachotaka kusema ni kwamba utafiti huu ulilenga kubaini kama wanaonunua na kutumia madawa kujikoboa ni wanawake weusi au weupe? Sidhani kama hilo kujua aidha ni weusi au weupe ndio wateja linahitaji utafiti. Jambo lililo wazi.

Kama unahitaji topic utafiti wa namna hiyo labda jaribu ku-modify kidogo na ufanye unaolenga kujua sababu za walio weusi kutumia mkorogo ili wawe weupe. Hoja yangu ni kwamba hakuna mwanamke aliye mweupe anayetafuta mkorogo kwa kuwa hakuna mkorogo wa kumfanya aliye mweupe kuwa mweusi!

Lakini hongera umeonesha nia ya kufanya utafiti

mkuu usisemee mioyo ya watu MADEMU WEUSI WENGINE NI NATURAL ILA KISAIKOLOJIA WAMEATHIRIKA KULIKO WEUPE
WANAWAKE WOTE WANAPENDA MIKOROGO ILA UTAFITI UMEAINISHA KATIKA MIKOA HIYO WATUMIAJI WENGI ni WeUSI
 
tafiti nyingine bana!
sasa mweupe wajikoboe nini?
Kuna mtu atakuja na tafiti hapa "nimegundua wanawake wanazaa"

Mbona Wema alienda kufanyiwa plastic surgery ili kuficha madhara ya kujichubua?

Ila ni ujinga angali mkurugenzi wa bendi fulani hivi yaani pamoja na usomi wako mhhhh
 
Mbona Wema alienda kufanyiwa plastic surgery ili kuficha madhara ya kujichubua?

Ila ni ujinga angali mkurugenzi wa bendi fulani hivi yaani pamoja na usomi wako mhhhh

watu wausi tu je huyu naye ni vipi!
 
We are missing the point. Sidhani ni wanawake wote weusi, kwa psychology ya haraka check common dinominator ya hao wanawake -kielimu (hata IQ yao), social interactions, exposure....Coz mweupe utataka ajichubue nni already they are light-skinned!
nyakati hizi hata wanawake weupe wanajichubua, wanasema kuna weupe wa kishamba na ule wanaita wa kung'aa a.k.a ng'ari ng'ari unaobustiwa na karolite n.k
 
vipodozi gani unavyomaanisha?
mbona hata weupe pia wanapenda hizo mambo?
 
tafiti nyingine bana!
sasa mweupe wajikoboe nini?
Kuna mtu atakuja na tafiti hapa "nimegundua wanawake wanazaa"

Hata nami nimeshangaa bonge la ugunduzi hilo!
 
Mbona Wema alienda kufanyiwa plastic surgery ili kuficha madhara ya kujichubua?

Ila ni ujinga angali mkurugenzi wa bendi fulani hivi yaani pamoja na usomi wako mhhhh

Na mama yake MM je, mbona hamsemi?
 
"kama weupe ni dili, ubuyu usingepakwa rangi" by Mpoki
 
nyakati hizi hata wanawake weupe wanajichubua, wanasema kuna weupe wa kishamba na ule wanaita wa kung'aa a.k.a ng'ari ng'ari unaobustiwa na karolite n.k

mkuu umewapanua mawazo watu nadhani tunaelewana sasa
 
Back
Top Bottom